Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Heri yake, Magu hata cha kuombea maji, akiongea kimalikia ni kelele tupu kama mashine ya diesel
Mimi ninaongea na kuandika kiingereza vizuri sana kuliko Lissu na Magufuli; ni matokeao ya nature ya kazi yangu ambapo nimekuwa mwalimu Marekani kwa takriban miaka 25 sasa. Je mimi ndiye ninafaa zaidi kuwa rais wa Tanzania? Nimemsikiliza Lissu anpoongea kiingereza jinsi anavyokosea na anatumia tabia ya kuweka pause kwa muda mrefu ili kurekebisha makosa hayo, na nimesikia Magufuli pia anapoongea kiingereza yeye anaongea kwa haraka katika lafudhi ya kisukuma na hivyo kufanya makosa ya matamashi fulani. Kati yao hakuna bingwa.
 
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"

My Take: Tundu Lissu kuwa na huruma​

Tundu is so cheap!
 
Pole sana unateseka sana hata jpm nae mtu wa kawida siyo jini
Tundu Lissu ni mtu wa kawaida sana kama wewe na mimi.

Na atabakia kuwa hivyo baada ya October 28

Hio sheria mnayomsifia amesoma kwani ni yeye peke yake amesoma sheria nchi hii?
 
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"

My Take: Tundu Lissu kuwa na huruma​

Pumbavu.wewe level yako ya mdahalo ni Hashim Rungwe.
 
Inashangaza kuona jamii ya msomi kama wewe "unagwaya mdahalo" jifunze pia nchi za watu ulikokopi jina unalotumia humu

Sijakataa midahalo ni mizuri, na ni sehemu ya kuonyesha kuimarika kwa siasa za ushindani na si siasa za Tundu Lissu.

Ninyi mnamwona Tundu Lissu yuko sawa kisiasa lakini sisi wengine tunaofuatilia tayari (privately ) tumewaambia Chadema kwamba hapo wamekosea kwa mgombea huyu.

Hilo jambo Chadema wanalifahamu wanalijutia na hawawezi kulibadilisha.

Mgombea wenu mlimwandaa kabisa tangu mwanzo lakini mkabadili gia ingine angani.

Ila mimi naunga mkono kabisa midahalo ila kwa jinsi mazingira yalowekwa khasa na Tundu Lissu ni vigumu kwa mgombea wa CCM kukubali kuwepo na mdahalo.

Hayo ni maoni yangu ambayo ni 100% pure.
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
mpaka hapo mkuu we mwenyewe tiyari umetukana , eli mropokaji, kwanza unamsemaje mtu mropokaji ambae sio level yako , namanisha , lissu kwa sasa ni next level ambayo hutokuja ifikia katika maisha yako , acheni maneno ya maajabu
 
Sijakataa midahalo ni mizuri, na ni sehemu ya kuonyesha kuimarika kwa siasa za ushindani na si siasa za Tundu Lissu.

Ninyi mnamwona Tundu Lissu yuko sawa kisiasa lakini sisi wengine tunaofuatilia tayari (privately ) tumewaambia Chadema kwamba hapo wamekosea kwa mgombea huyu.

Hilo jambo Chadema wanalifahamu wanalijutia na hawawezi kulibadilisha.

Mgombea wenu mlimwandaa kabisa tangu mwanzo lakini mkabadili gia ingine angani.

Ila mimi naunga mkono kabisa midahalo ila kwa jinsi mazingira yalowekwa khasa na Tundu Lissu ni vigumu kwa mgombea wa CCM kukubali kuwepo na mdahalo.

Hayo ni maoni yangu ambayo ni 100% pure.
Kwakua unaunga mkono swala la midahalo sina neno jingine. Mgembea wangu ni rungwe japo takukuru wanatuwekea kauzibe.
 
Pole sana unateseka sana hata jpm nae mtu wa kawaida siyo jini

Mimi na wewe ni watu wa kawaida sana.

Hata Tundu Lissu ni mtu wa kawaida sana ukiondoa sifa yake ya ugombea uraisi.

Uchaguzi ukiisha atateremka atatulia.

Tundu Lissu ana kitu chaitwa "personal hatred" kwa JPM na hiyo iko wazi.
 
Kwakua unaunga mkono swala la midahalo sina neno jingine. Mgembea wangu ni rungwe japo takukuru wanatuwekea kauzibe.

Sasa wataka Rungwe aje kwenye mdahalo amebeba pilau? 😉

Again, Hashim Rungwe apaswa kusikilizwa uzuri sera zake.

Ndo hivyo watu watasahau kusikiliza sera watagombania sufuria za pilau na ubwabwa.

Bless him, he is a good guy.
 
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!

Bwahaaa bwahaaa nimecheka kwa nguvu kinoma. Kama kuna kitu ccm inawaumiza roho ni pale mgombea wao anapoambiwa aingie kwenye usaili. Wanajua kabisa lazima mgombea wao aelekezwe kibla. Lowassa 2015 ndio alileta hizo partcles za uoga wa midahalo wa kiccm. Safari hii hatuko na kilaza, tunamtaka huyo wenu anyooshe maelezo na sio kulisha watu Matango pori. Hii ndio raha ya kuwa na mgombea mwenye uwezo.
 
Mimi na wewe ni watu wa kawaida sana.

Hata Tundu Lissu ni mtu wa kawaida sana ukiondoa sifa yake ya ugombea uraisi.

Uchaguzi ukiisha atateremka atatulia.

Tundu Lissu ana kitu chaitwa "personal hatred" kwa JPM na hiyo iko wazi.

Na Magufuli ana nini kwa Lisu? Kumbuka Lisu hakuwa mlemavu. Huyo Lisu hajawahi kutulia, watu wa aina ya Lisu wako hivyo hivyo, kama ni wakutulia angetulia baada ya hili shambulio. Ili Lisu atulie ni kumtanguliza kaburini, au kumuweka jela, japo nayo ni suluhisho la muda mfupi.
 
Kuna tofauti kubwa kati mdahalo wa urais na mipasho..... Kama alikua hajui Magufuli ni mtu wa kazi zaidi ya maneno na sasa anafanya kampeni ya kisayansi
 
Message sent!
which message, this bullshit? ever witnessed such a thing anywhere in this World? this man is taking thing too personal and he is filled with vengeance. Such a man cannot become a leader.
 
Na Magufuli ana nini kwa Lisu? Kumbuka Lisu hakuwa mlemavu. Huyo Lisu hajawahi kutulia, watu wa aina ya Lisu wako hivyo hivyo, kama ni wakutulia angetulia baada ya hili shambulio. Ili Lisu atulie ni kumtanguliza kaburini, au kumuweka jela, japo nayo ni suluhisho la muda mfupi.

Tundu Lissu si mwanasiasa ni mwanaharakati hilo wengi wanasema, wengi wape.

Nimewahi kusema humu kwamba namfahamu Tundu Lissu vizuri tu na ni mtu wa kawaida sana.

Ni kweli kapata tatizo la ulemavu ambao haijulikani mpaka leo wahusika shambulizi dhidi yake ni akina nani, hivyo mimi siwezi kuliongolea hilo.

Lakini baada ya uchaguzi October 28 Tundu Lissu ataendelea kuwa mwanaharakati wa kawaida akiwa Chadema.

Ila huko mbele atajifunza namna ya kufanya siasa akiwa Chadema.
 
Yani Lissu Mdahalo Labda afanye na Polepole Maana Ndii Wawezw Lingana MAGUFURI NI RAIS LUSSU NI MKOLA ANAOMBAJE MDAHALO NA MTU AMBAE SIO SIZE YAKE KABISA YAANI RAIS WA NCHI AKAKAE NA KIBARAKA TUNDU KUWA ADABU KWA RAIS KIPENZI CHA WATU
Kwa kweli
 
Back
Top Bottom