Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Mkuu kama na wee uko upande wa huyu kibaraka wa mabeberu nakupa pole,huyu hataboi,magufuli atamtwanga mapema sana,ajandae kusafiri kwenda kwa mabeberu wenzake
Hao mabeberu si ndo main sponsor wenu hapa??Naona unajifurahisha kulutaja hilo neno wakati ni mkono unaokulisha.
 
Hao hawajakaa serikalini inatakiwa aliyeshika madaraka na kuaminisha watu juu ya hili na lile aje kwa miaka mingi ayathibitishe hayo kwenye mdahalo

Niliwahi kuomba picha za viwanda vinavyohubiriwa kujengwa nchi nzima na products zake hakuna lumumba aliyepost hizo picha luthibitisha

Sasa hivyo viwanda ndo vyaletwa kwenye midahalo?

Si uende Kibaha huko upange na RC mzungukie uone viwanda?

Si shida yako kuona viwanda au?
 
Wanacho cha kuongea ila mazingira hayaruhusu.

Kwani hii midahalo huongelea zile sera zao na kuwapa nafasi wananchi kuzipima na kumpima mgombea.

Kwa sasa huu mtindo wa kuzunguka nchi nzima ni mdahalo tosha.

Wenzetu Marekani na wengine wamekuwa wakifany ahii midahalo tangu miaka ya 60.

Hivyo hatuwezi kuiga kila kitu.
Unadhani Jpm akae meza moja na TL kipi kutatokea,huyu Mzee atapigwa hoja ngumu sana mwishoni anaweza hata kurusha ngumi!
 
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
Kibao kimegeuka mwaka 2015 ccm mlihitaji sana mdahalo na lowasa safari mbona hamuutaki mdahalo tena why?
 
Sasa hivyo viwanda ndo vitaletwa kwenye midahalo?

Si uende Kibaha huko upange na RC mzungukie uone viwanda?

Si shida yako kuona viwanda au?
Mnavyopenda sifa picha za hivyo viwanda zingekuwa zimechafua internet

Kwenye mdahalo kuna mengi ya kuzungumza ni moja pia ya sehemu ya kujinadi na kuonesha dira ya sera zako na namna utakavyoshukhulikia national matters.

Dr sidhani kama mdahalo atakimbia
 
Nani aliwapuuza wafanya kazi na vyama vyao?
 
Jiwe limerushwa gizani nyumbani kwa Mheshimiwa, litampata nani? Asikimbie mjadala mubashara ili wapigakura waone tija ya yale aliyowahubiria na kuwaaminisha kwa miaka mitano iliyopita. Aje na ushahidi wa hoja kuwa Tanzania ya viwanda, vita vya kiuchumi dhidi ya mabeberu, Tanzania is a donor country na porojo nyingine kama hizo.
 
Mgombea wenu amekulia mashambani au huoni alivyomshamba

Hata Hayati Mwalimu Nyerere alikulia kijijini akichunga ng'ombe.

Baadae akatimkia shule na akaanza shule akiwa na miaka 12, na "upstairs" akawa si wa kawaida.

Huyohuyo umwonae mshamba leo hii kakuzidi akili, yeye ni raisi wa nchi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mnavyopenda sifa picha za hivyo viwanda zingekuwa zimechafua internet

Kwenye mdahalo kuna mengi ya kuzungumza ni moja pia ya sehemu ya kujinadi na kuonesha dira ya sera zako na namna utakavyoshukhulikia national matters.

Dr sidhani kama mdahalo atakimbia

Sasa kama ni kujinadi kuzunguka si kwatosha?

Na kama ni sera mgombea wa CCM ameishaziongelea?

Na Tundu Lissu nae si bado azunguka?

Sasa midahalo ya ni?
 
Hata Hayati Mwalimu Nyerere alikulia kijijini na akachunga ng'ombe.

Baadae akatimkia shule na akaanza shule akiwa na miaka 12, na "upstairs" akawa si wa kawaida.

Huyohuyo umwonae mshamba leo hii kakuzidi akili, yeye ni raisi wa nchi.
Hata lisu ni hivyo hivyo kwa hiyo ngoma droo tulia mzee
 
Sisi hatutaki midahalo,walio karibu na mgombea wetu wa chadema wamwambie ,raia wanataka Sera,sio Mara nina risasi 16 kiunoni,sasa zinamsaidiaje raia wa kawaida hizo risasi?

Huyu mgombea wetu anatuangusha sana ,harafu akishindwa aanze kusingia ccm wameiba kura zake

Tutakumbushia mdahalo tena na tena maana ni sehemu muhimu ya mchakato wa Kidemokrasia kuelekea kupiga kura ktk Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ili tuende kupiga kura tukiwa na ufahamu tosha wa mipango yao wagombea Tundu Lissu na John Magufuli ili tufanye uamuzi sahihi.
 
Sasa kama ni kujinadi kuzunguka si kwatosha?

Na kama ni sera mgombea wa CCM ameishaziongelea?

Na tundu Lissu nae si bado azunguka?

Sasa midahalo ya ni?
Inashangaza kuona jamii ya msomi kama wewe "unagwaya mdahalo" jifunze pia nchi za watu ulikokopi jina unalotumia humu
 
Hata lisu ni hivyo hivyo kwa hiyo ngoma droo tulia mzee

Tundu Lissu ni mtu wa kawaida sana kama wewe na mimi.

Na atabakia kuwa hivyo baada ya October 28

Hio sheria mnayomsifia amesoma kwani ni yeye peke yake amesoma sheria nchi hii?
 
Back
Top Bottom