Mgombea wa CCM lazima asukumwe ndani ya ulingo, maana kama CCM ya zamani 2015 ilimburuta kuingia ktk kinyanganyiro cha kugombea basi CCM Mpya imburute aingie ulingoni kulinda heshima ya CCM Mpya katika mdahalo ili waTanzania wapate faida ya kisiasa nani ni zaidi :
Sisi hatutaki midahalo,walio karibu na mgombea wetu wa chadema wamwambie ,raia wanataka Sera,sio Mara nina risasi 16 kiunoni,sasa zinamsaidiaje raia wa kawaida hizo risasi?Magufuli hawezi kujitokeza kwenye huo mdahalo, hana ubavu wa kushindanisha hoja na Lissu. Yeye amezoa KUAMURU tu.
Jibu hoja Chato ni mjini kwani tuache Siasa za kishamba Tanzania kwanza hlf kijani au makanda au Team Ubwabwa baadae...Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Ndio atatuambia hayo kwenye mdahalo 😁😁😁Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu!
Mdahalo hautakiwi na wewe na CCM wenzio huko, msitukosee adabu watanzania wengine. Duniani kote wagombea wanapimwa hoja zao kupitia midahalo.Sisi hatutaki midahalo,walio karibu na mgombea wetu wa chadema wamwambie ,raia wanataka Sera,sio Mara nina risasi 16 kiunoni,sasa zinamsaidiaje raia wa kawaida hizo risasi?
Huyu mgombea wetu anatuangusha sana ,harafu akishindwa aanze kusingia ccm wameiba kura zake
Unadhani urais ni kuzuia watu wasipate haki ya kupata taarifa? Kama vile mlivyolizuia Bunge Live?Unadhani Urais ni midahalo??
Mdaharo ndo vitu gani???Mwambieni katambi anasubiri kufanya nae mdaharo
Akikubali kuhudhuria kwenye mdahalo nahamia ccm
Hawana chakuongea ndiyo mana huwa wanaikimbiaMidahalo imekuwa ikiombwa tangu 1995 na haijaweza kutokea.
Hii picha inaogofya
Utajua hujuiKampeni za majukwaani zishamshinda snitch Lisu....CCM note hili, muongeze bidiii (upinzani wanapumulia machine)
Hao hawajakaa serikalini inatakiwa aliyeshika madaraka na kuaminisha watu juu ya hili na lile aje kwa miaka mingi ayathibitishe hayo kwenye mdahaloMbona wagombea wako wengi tu, kwanini iwe ni John tu.
Kuna Membe, Rungwe n.k anaweza fanya nao mdahalo pia.
Hawana chakuongea ndiyo mana huwa wanaikimbia