Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Ccm mnakataa kwanini?
Wtf is wrong with you people,Magufuli for real akakae na kibaka huyu kujadili nini???
Kwamba alipigwa risasi?kaishi (Belgium)ni kijiji kwa nyie mbumbumbu Europé.
Kuhusu sheria,hamna debe tupu linapiga makelele km hili lofa,fala risasi mara 38aka 18 now 16.
Anasemaje ana damu ya WaKenya.
Anagombea urais,kashindwa kuwepo kwenye misingi bora atengeneze familia,
 
Lissu is being extra..eti Rais wa Jamuhuri na Mgombea wa CCM Anamuogopa na kumchenga chenga. Sijui ni kwanini Lissu amekwea level ya juu mno..na haoni wa kumlinganisha naye ktk Tanzania...
 
12 September 2020
Mwanza, Tanzania

Mzee atoa somo kuelekea uchaguzi 2020


Katika kitongoji cha Nyamagana jijini Mwanza kanda ya Ziwa Victoria, waTanzania wanaendelea kupewa dozi juu ya umuhimu wa kupambanisha sera na hoja ili wananchi wapate uelewa wa haki ya kiuraia kama Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
 
haaaa haaa MATAGA mmechafukwa leo. Tatizo nini lugha? au maguvu bila point
Lugha gani? Yaani rais aachae kufanya kazi zake afanye mdahalo na mtu ambae haoni hata umuhimu wa mradi kama JNHPP! Nini maana ya Mataga acha kukariri ushamba.
 
Ishu sio mdahalo,je unafanya mdahalo na mtu wa namna gani. Unaweza kwenda kufanya mdahalo na mtu anayesema hata Wajerumani walijenga barabara. Kwani Wajerumani waliacha nchi yeu hivi?
 
Hahaha si ndio maana ya Mdahalo, Magufuli naye aje ayatetee hayo maendeleo tumsikie
Kuyatetea kwa nani? Kama mtu anasema kweli anakubali makubwa yamefanyika,ila anataka aone mkataba wa mikopo ya pesa ambazo serikali inakopa. Kwani yeye ni mbunge!
 
Jibu hili linaonyesha mapungufu makubwa kichwani mwako, na hivyo hoja zako zote zitakuwa na mapungufu kama haya haya
 
Lissu is being extra..eti Rais wa Jamuhuri na Mgombea wa CCM Anamuogopa na kumchenga chenga. Sijui ni kwanini Lissu amekwea level ya juu mno..na haoni wa kumlinganisha naye ktk Tanzania...
Anayejikweza ndiyo huwa wa mwisho.
 

 
Kwanini hamtaki wachunguzi binafsi Scotland yard walitaka kuchunguza bure bila malipo serikali ilikataa.na serikali imekaa kimya as nothing happened. Usitetee upumbavu hata kama unalipwa ujira.tafuta kazi ya kufanya upate hela halali
Scotland yard (na FBI) huwa hafanyi kazi kwa mazingaombwe; huwa wanataka ushahidi kamili. Huwezi kusema unaleta Scotland Yard bila kuwa na ushahidi wakati crime scene imeshakuwa contaminated. Zamani sana waliletwa scotland Yard kuchunguza moto wa benki kuu wakaondoka kapa. Ni imani ya kudhani kuwa taasisis za nje zina majibu yote ya matatizo yetu lakini siyo kweli.
 
Yataje hayo mapungufu
Hilo jibu nililokwoti ni la kijinga sana na wala halikuwa na uhusiano na post yangu kiasi kuwa linaonyesha mapungufu makubwa sana ya uelewa wako wa mambo unayosoma. Post yangu ni kuwa kujua Kiiengereza siyo kigezo cha urais kwani hata mimi najua kiingereza kuliko wote waiwili lakini sijidai kuwa mimi ni bora kuwa raisi kuliko wao. lakini wewe kwa akili fupi ukakurupukia mambo ya ajabu yasiyohusika
 

..ungeweza kusema kuwa TL hajui kiingereza, na ukaishia hapo.

..sasa kudai kwamba TL, na Jpm, wanalingana ktk kuimudu lugha hiyo, nadhani umekwenda mbali.

..umeteleza na kupoteza heshima yako ktk mjadala huu.
 
..ungeweza kusema kuwa TL hajui kiingereza, na ukaishia hapo.

..sasa kudai kwamba TL, na Jpm, wanalingana ktk kuimudu lugha hiyo, nadhani umekwenda mbali.

..umeteleza na kupoteza heshima yako ktk mjadala huu.
Nilichosema ni kuwa uwezo wa kuongea kiingereza siyo kigezo cha kumchagua mtu kuwa rais kwani hata mimi najua sana kiingereza kutokana na experience ya kazi yangu kuliko wao lakini sijidai kuwa ni bora kuliko wao na ninaweza kuwa rais mzuri. Swala la kusema usimlinganishe magufuli na Lissu ni sawa lakini kwangu mimi nawaona wote bado wako chini; inawezekana mmoja yuko chini kwa hatua moja na mwingine kwa hatua mbili lakini siyo kweli kuwa Lissu ni master wa Kiingereza na hivyo ndiyo anayepaswa kuwa raisi; no.
 
Ndiyo muuweke huo mdahalo mum challenge lissu

Ova
 

..OK.

..lakini ukianza kutetea kiingereza cha Jpm unajivunjia heshima.

..Ni bora ungepita zako kuliko kutetea jambo lisilo na mjadala kama hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…