Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hawezi tokea tusinganyane kwa kwl
Ndio atatuambia hayo kwenye mdahalo [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio atatuambia hayo kwenye mdahalo [emoji16][emoji16][emoji16]
Siasa ni kama mbio za magari za F1(formula one) au Boxing..Yule ambaye anashikilia ubingwa ndo uwa anakuwa challenged sio other way round. Katika F1 bingwa anakaaga spot number one..mbele ya challengers, ni KAZI ya washindani wengine kupambana kumpita, na mara nyingi bingwa upitwa pale anapotokea kufanya makosa ya kiufundi na ni nadra Sana akosee...that's why ktk fani hizo kuna dominance ya muda mrefu.Unamchallenge nini mtu ambae anagombea urais huku hajui anagombea kwa ajili gani!
Kujenga JNHPP ni kitu kimoja na kupata MW 2100 ni kitu kingine. Una commit leo USD 6.0 Bilion kwa umeme unaotokana na maji wakati una vyanzo vingine vya renewable energy kama gesi, upepo na geothermal. Ni udwanzi!!Acha hasira,unataka unilazimishe upuuzi uliokaririshwa! Mimi natumia akili yangu.
Yaani wewe huoni umuhimu wa Sgr,Flyovers na JNHPP?
Buku saba huwa unanilipa wewe?
Tatizo ni nini? Mbona Kikwete alifanya na Mbowe? Nyerere ndiye haswaaa alikuwa anaipenda. Hata mustakabali wa masuala ya elimu imejengwa na inajengwa kimjadala kwa wahusika kuleta dalili ya uhalisiya wa mambo.Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
hiv huyu alitoaga mualiko nakumbuka.je aliupata?Mwambieni katambi anasubiri kufanya nae mdaharo
keyboard warriorsUkinikata damu ni Tundu Lissu.View attachment 1569015
Mmeanza kukimbia enhee [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nataka uwepo mdahalo....ingawa sidhani kama Magu atatokea [emoji1787].
Nani kasema hatutaki mdahalo? Tunataka kuwapima wagombea Urais uwezo wao, hapo jiwe lazima akimbie mana anajijua uwezo wakeAnatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
masikini phd jeuri kwishney,lasima ajifiche kama siyo kumtuma muwakilishiHuyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Kwani yeye mjinga kihivyo, kamwe hawezi kubali kujiaibishaHakuna kosa ambalo litamgaharimu magufuli kama kukubali hiyo battle
Dah....tatizo watz hatuhitaji Rais mwenye pereteperete nyingi.... tunahitaji Rais atakaye watetea wanyonge....atakayesimamia rasilimali zetu...atakayesimamia kama Rais...not a remote controlled oneTundu Lissu ameona nini kwa mpinzani wake mbona anakuwa hana huruma
Unajua maana ya mdahalo na faida yake kwa wapiga kura kweli wewe?Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Swali gani hili? Hujui kuwa mbunge yoyote ana access ya kuona mikataba ya serikali?
Kweli? Unaleta ushahidi upi wa matusi aliyotoa Lisu? Au pengine mimi ndio ni mbumbumbu nisiyesikia? Ila upande wa pili, sio haba, nimesikia matusi (kauli zenye utata, mara nyingi kama utani wa kikubwa!).Lissu amezoea kutukana wenzake matusi. Magufuli yupo juu sana kumlinganisha na lissu. Yeye apambane kivyake sio kutaka umaarufu kupitia rais.
Unajua lengo la mdahalo wewe? Kama hukui rudia kusoma tenaLengo la mdahalo ni nini?
Kama ni utendaji wote tunajua kwa sasa JPM hana mpinzan
Hauoni kwamba ndiyo wakati mzuri wa Magufuli kumchakaza kabisa Lissu? Kuna msemo unasema "Mtoto akililia wembe mpe umkate". Magufuli ni wembe na Lissu ni mtoto! Uwacheni wembe ukafanye kazi yake.Yani Magufuli apoteze muda wake kwenda kujibu upupu wa Lissu anaowajaza viazi wenzake kwenye mikutano yake.
Surely Magu has better things to do.