Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Unamchallenge nini mtu ambae anagombea urais huku hajui anagombea kwa ajili gani!
Siasa ni kama mbio za magari za F1(formula one) au Boxing..Yule ambaye anashikilia ubingwa ndo uwa anakuwa challenged sio other way round. Katika F1 bingwa anakaaga spot number one..mbele ya challengers, ni KAZI ya washindani wengine kupambana kumpita, na mara nyingi bingwa upitwa pale anapotokea kufanya makosa ya kiufundi na ni nadra Sana akosee...that's why ktk fani hizo kuna dominance ya muda mrefu.

Katika yanayoendelea kisiasa hapa nchini ni muhimu vyama vya upinzani kupambana Kwa kila namna kuwashinda CCM wasitegemee eti watapata plain level playing field au kushare same stage na CCM, No where watapata nafasi ya kuwa compared incase they come out Good...Watumie avenue nyingine.. mdahalo ni impossible kwani CCM wanahisi kwamba hawana haja ya kufanya AUDITION kupewa PART , Wapya or inexperienced ndio wanahitaji hizo Forums ili kuwa win wapiga Kura, SASA CCM hawawezi kuwa msaada katika Hilo.
 
Acha hasira,unataka unilazimishe upuuzi uliokaririshwa! Mimi natumia akili yangu.
Yaani wewe huoni umuhimu wa Sgr,Flyovers na JNHPP?

Buku saba huwa unanilipa wewe?
Kujenga JNHPP ni kitu kimoja na kupata MW 2100 ni kitu kingine. Una commit leo USD 6.0 Bilion kwa umeme unaotokana na maji wakati una vyanzo vingine vya renewable energy kama gesi, upepo na geothermal. Ni udwanzi!!

Unaelekeza SGR Rwanda kwenye mzigo usiozidi 800,000 tons per annum na unaacha Uganda kwenye 2,000,000 tonnage, nao ni uchizi

Unataka tukusifie kwa kujenga daraja la barabara za njia panda wakati ni wajibu wa Serikali. Halafu uje Nanjilinji na Kazuramimba utuambie umejenga tukupe kura wakati hatuna maji Safi na watoto wetu wanakaa chini ni ukichaa
 
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
Tatizo ni nini? Mbona Kikwete alifanya na Mbowe? Nyerere ndiye haswaaa alikuwa anaipenda. Hata mustakabali wa masuala ya elimu imejengwa na inajengwa kimjadala kwa wahusika kuleta dalili ya uhalisiya wa mambo.

Mjadala ni moja ya falsafa na nidhamu ya kielimu. Tatizo ni nini haswa mpaka mjadala ukimbiwe?
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Mmeanza kukimbia enhee [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hapo tayari ushajua kuwa mshua lazima akimbie
 
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
Nani kasema hatutaki mdahalo? Tunataka kuwapima wagombea Urais uwezo wao, hapo jiwe lazima akimbie mana anajijua uwezo wake
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
masikini phd jeuri kwishney,lasima ajifiche kama siyo kumtuma muwakilishi
 
Tundu Lissu ameona nini kwa mpinzani wake mbona anakuwa hana huruma
Dah....tatizo watz hatuhitaji Rais mwenye pereteperete nyingi.... tunahitaji Rais atakaye watetea wanyonge....atakayesimamia rasilimali zetu...atakayesimamia kama Rais...not a remote controlled one
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Unajua maana ya mdahalo na faida yake kwa wapiga kura kweli wewe?
 
Lissu amezoea kutukana wenzake matusi. Magufuli yupo juu sana kumlinganisha na lissu. Yeye apambane kivyake sio kutaka umaarufu kupitia rais.
Kweli? Unaleta ushahidi upi wa matusi aliyotoa Lisu? Au pengine mimi ndio ni mbumbumbu nisiyesikia? Ila upande wa pili, sio haba, nimesikia matusi (kauli zenye utata, mara nyingi kama utani wa kikubwa!).

Ninaamini katika kupimana nguvu kupitia hoja! Na kama TL ana matusi itakuwa ni wakati muafaka wa kung'amua hivyo kwenye mdahalo. La sivyo naona tunajinyima nafasi ya kuwaweka kwenye mizani.

Mbona midahalo ni jambo la kawaida duniani? Marais walioko madarakani hutetea walichofanya na wanachotarajia kutenda zaidi! Tusiogope!
 
Yani Magufuli apoteze muda wake kwenda kujibu upupu wa Lissu anaowajaza viazi wenzake kwenye mikutano yake.

Surely Magu has better things to do.
Hauoni kwamba ndiyo wakati mzuri wa Magufuli kumchakaza kabisa Lissu? Kuna msemo unasema "Mtoto akililia wembe mpe umkate". Magufuli ni wembe na Lissu ni mtoto! Uwacheni wembe ukafanye kazi yake.

Ruhusuni mjadala.
 
Back
Top Bottom