Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

Ukipewa uhuru utumie inavyostahili ukitumia vinginevyo utaula wa shuya
Tumiani hoja kama mnazo na sio nguvu za mapoliccm mtaonekana wapumbavu na majuha. Kwani kupinga mkataba mbovu ni kosa kisheria wao wakisema ni mbovu na nyinyi uteteeni mpaka upatikane mwafaka na sio hizo nguvu mnazo zitegemea.

Kwahilo asilimia 90 ya wananchi hawako pamoja nanyi.
 
Hoja gani Mzee? Matusi na kudhalilisha sio Demokrasia vinginevyo hata Shetani wenu atawashangaa
 
Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe!,[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu nyingi inatumika kwenye huu mkataba .

BREAKING NEWS :
Inadaiwa kuna waliohongwa pesa chafu na kustua mji wa Dar es Salaam kwa matumizi ya kutisha na yenye mashaka kiasi watu kukaa makundi kuulizana mwenzangu umepata ngapi

 
Vibaraka wa mabeberu nyie inje za inje mnatafuta nini mmeacha jengo lenu la mchongo kutwa inje za inie hopeless kabisa nyie.
Mnapinga uwekezaji ili tuendelee kuwa tegemezi kwa hao mabeberu wenu🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…