Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipewa uhuru utumie inavyostahili ukitumia vinginevyo utaula wa shuyaHahaahhaah tunarudia Zama zetuuu?
😂😂Vita tamu sn hii
Mtanikumbuka kwa mazuri 😀😀😀Ukipewa uhuru utumie inavyostahili ukitumia vinginevyo utaula wa shuya
Tumiani hoja kama mnazo na sio nguvu za mapoliccm mtaonekana wapumbavu na majuha. Kwani kupinga mkataba mbovu ni kosa kisheria wao wakisema ni mbovu na nyinyi uteteeni mpaka upatikane mwafaka na sio hizo nguvu mnazo zitegemea.Ukipewa uhuru utumie inavyostahili ukitumia vinginevyo utaula wa shuya
Hoja gani Mzee? Matusi na kudhalilisha sio Demokrasia vinginevyo hata Shetani wenu atawashangaaTumiani hoja kama mnazo na sio nguvu za mapoliccm mtaonekana wapumbavu na majuha. Kwani kupinga mkataba mbovu ni kosa kisheria wao wakisema ni mbovu na nyinyi uteteeni mpaka upatikane mwafaka na sio hizo nguvu mnazo zitegemea.
Kwahilo asilimia 90 ya wananchi hawako pamoja nanyi.
Tulia UWT
Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe!,[emoji419][emoji375]View attachment 2692232
Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe...