Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Sasa ngedere km wewe unaweza kuwaza cha maana? We ni bwege tu km huyo lofa wakoWapumbavu ndiyo mnavyofikiri. Akili kama ya kuku mnafanya vitu kwa mazoea.
Sasa ngedere km wewe unaweza kuwaza cha maana? We ni bwege tu km huyo lofa wakoWapumbavu ndiyo mnavyofikiri. Akili kama ya kuku mnafanya vitu kwa mazoea.
Mkuu ungekaa kimya tu kuliko kuonyesha upumbavu wako hapa, chuki ni mbaya sanaKwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!

Bado kesi inaendeleaLissu kaachiwa?
Sasa ngedere km wewe unaweza kuwaza cha maana? We ni bwege tu km huyo lofa wako
heri umejuwa miWAKILI ya SERIKALI haina akili SIO bure wanashindwa kesi mara kwa mara, kazi kuhonga WAZUNGU kufanya Lobying!Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake.
Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija, Muruke na Khamis ambapo amedai kuwa kesi yake imwcheleweshwa kwa makusudi kwa siku 139 huku akikaa gerezani kwa mwaka mmoja na miezi mitafu sasa.
"Kwa jinsi ambavyo nimeyazungumzia yameletwa kwa lengo moja tu kurefusha kwsi ya msingi na ukirefusha kesi ya msingi mjibu maombi ataendelea kukaa Ukonga Prison na leo ni siku ya 139 tangu hii mbinu ya kuchelewesha kesi waianzishe. Nimo gerezani leo mwaka na miezi mitatu lakini kwa sababu ya ucheleweshaji huu wa siku 139 (kuanzia Februari 24, 2026 hadi leo Julai 3, 2026)" amelalamika Lissu
Ameendelea kuieleza Mahakama ya Rufani kuwa kitendo hicho cha DPP kinaendana kinyume na matakwa ya kikatiba juu ya DPP kuhakikisha mwenendo wa mahakama hautumiki vibaya ni maslahi ya umma kuzingatiwa huku akihoji ni yapi maslahi a umma kwenye kesi hiyo. "Maombi haya yana maslahi gani ya umma." alihoji Lissu
Katika kukazia maombi yake kwa Mahakama Lissu alisema "Ombi langu sio tu mahakama hii iyakatae maombi hayo ni kutumia Mamlaka ya Mahakama Kuu kumuamuru mleta maombi alipe fidia kwangu kwa sababu ya ucheleweshaji huu kwa sababu ya taabu aliyonisabishia kwa siku 139. Mumuamuru DPP anilipe fidia kwa usumbufu wote huu." Ameongeza Lissu
Akijibu hoja za Lissu Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga amepinga madai ya Lissu kuwa maombi hayo yameletwa kwa ajili ya kuchelewesha kesi akisema kuwa si nia ya DPP.
Kuhusu malipo ya fidia kwa kuchelesha usikilizwaji wa kesi amesema kuwa kifungu alichokitumka Lissu hakitumiki katika mazingira ya shauri hilo. Amefafanua kuwa akifungu hicho kinatumika pale ambapo mahakama inakuwa imesikiliza kesi na kuamua kuwa haina msingi.
Baada ya kusikiliza pingamizi la awali pamoja na maombi haya ya msingi Mahakama ya Rufani imeahirisha shauri hili na imesema itatangaza siku ya uamuzi.
How do you sleep at night?yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?
hii ni maajabu 🐒
How do you sleep at night?Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
I think it's better you ask those nonsense lawyers who are trying to demand things which are useless before the law 🐒How do you sleep at night?
I ask you a simple question kwa huu mtazamo wako na labda Mungu kakupa watu wanaokutegemea unawezaje kulala with this kind of thoughts in your head?I think it's better you ask those nonsense lawyers who are trying to demand things which are useless before the law 🐒
Gentleman,I ask you a simple question kwa huu mtazamo wako na labda Mungu kakupa watu wanaokutegemea unawezaje kulala with this kind of thoughts in your head?
How do you sleep at night?
Ask your mom this question, she knows how i do sleep at night!How do you sleep at night?
Fuckkk uKwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Kunywa juice baridi nalipaInashangaza sana kuona huyo DPP na mawakili wake wanalipwa mishahara kwa kodi zetu! Badala ya kutumika kwa manufaa ya umma, wameamua kutumika kwa manufaa ya watawala walioingia madarakani kwa hila na wizi wa kura.
How do you sleep at night?Gentleman,
I think it's better you hide your empty head rather than exposing the vacuum of it to the platform. That's completely nonsense 🤣
if you think you have no point in regards to the motion on the table, just keep quiet and learn how others debate on it.
Mayhem are always nonsense in discussion. Try to be a gentleman, okay?🐒
How do you sleep at night?Ask your mom this question, she knows how i do sleep at night!
Hahaaaaa alafu ukute na wewe ni mwanaumeKwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Mbona inashindikana kumtia hatiani? Unaonekana "smart sana" Nenda kamsaidie Katugayaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?
hii ni maajabu 🐒