Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,008
- 2,232
Jela sikuhizi hawanyoi vipara?
Ipo serikali isipo badilika yatatokea.Wafuasi wa chadema msipo kuwa makini Huyu mwenyekiti wenu atakuja kutoka segerea baada ya miaka 5
Honestly Mimi naumizwa na nyinyi wafuasi wa chadema na wanachama wote. Wachama Cha chadema bado sijaona nguvu ile mnayo iita people's power kutoka kwenu , ili takiwa muamshe Bonge la cosovo nchini mpaka serikali imuachie kiongozi wenu
Chadema ni chama ambacho kina wafuasi wengine sana lakini I can declare ni chama ambacho kimeshindwa kuwa tumia wafuasi wake vyema katika kuibana serikali ili iweze kukiheshimu hicho chama /kukiogopa ,
Kama chama viongozi wa chama wanapo kosa kauli nzito za ushawishi wa kudai haki zao pale wanapo onewa na kuwataka wanachi wao waandamane Kwa kusudio la kudai haki zao Kwa government hicho chama kinakuwa ni sawa na vyama vya kamati ya harusi tu nothing else
Viongozi wa chama wanapaswa kuwa na ushawishi mkubwa sana Kwa wafuasi wao kiasi kwamba hata serikali yenyewe iwe inaingia hofu ya kukichezea chama hicho ,
So in tz ni tofauti serikali unaweza kufanya chochote muda wowote na wakati wowote inavyojisikia na halafu isitokee kitu
Chadema kama kweli nyinyi ndio chama kikuu pinzani nchini na mpo kwenye nafasi ya kudai haki ya kweli Kwa Watanzania basi mnapaswa kujitafakari upya
Nimeumia sana polisi kuvunja ule mlango wa gesti, wamemtia hasara mwenye ile gest..pole mlango wa gest!
LAKINI TUMSHUKRU MUNGU KWA HIKI KIDOGO KULE KIGOMA
Lucha[/USEaa
[/QUOTE]
Samuya ni kilaza alifeli form 4, ni aibu kwa wazazi kuwa na toto chawa wa kilaza!
Ndugu kidnapper aka mtekwaji wa serikali ya CCM. Nyie mmeshindwa kuthibitisha uovu wa Lisu na hamtaweza kuonyesha makosa hayo kwani hayapo.ikiwa hana makosa,
kulikoni anasota korokoroni hadi anafika hatua ya kujifanya mwendawazimu?
hata ajifanye chizi,
anayo kesi ya kujibu na lazima awajibishwe kulingana na makosa yake, bila mbambamba au mihemko ya mfuata mkumbo yeyote yule 🐒
Ignoramus idiot 🙄 7yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?
hii ni maajabu 🐒
Nasikia kila siku moja anayoendelea kuwa ndani ya Gereza Ndugu Lissu, shilingi 10,000 inaingia mfukoni mwako. Hongera sana.Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
MaCCM ni majitu maqumer sana. Wanamtesa Lissu gerezani kwanini? ******* kweli!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake.
Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija, Muruke na Khamis ambapo amedai kuwa kesi yake imwcheleweshwa kwa makusudi kwa siku 139 huku akikaa gerezani kwa mwaka mmoja na miezi mitafu sasa.
"Kwa jinsi ambavyo nimeyazungumzia yameletwa kwa lengo moja tu kurefusha kwsi ya msingi na ukirefusha kesi ya msingi mjibu maombi ataendelea kukaa Ukonga Prison na leo ni siku ya 139 tangu hii mbinu ya kuchelewesha kesi waianzishe. Nimo gerezani leo mwaka na miezi mitatu lakini kwa sababu ya ucheleweshaji huu wa siku 139 (kuanzia Februari 24, 2026 hadi leo Julai 3, 2026)" amelalamika Lissu
Ameendelea kuieleza Mahakama ya Rufani kuwa kitendo hicho cha DPP kinaendana kinyume na matakwa ya kikatiba juu ya DPP kuhakikisha mwenendo wa mahakama hautumiki vibaya ni maslahi ya umma kuzingatiwa huku akihoji ni yapi maslahi a umma kwenye kesi hiyo. "Maombi haya yana maslahi gani ya umma." alihoji Lissu
Katika kukazia maombi yake kwa Mahakama Lissu alisema "Ombi langu sio tu mahakama hii iyakatae maombi hayo ni kutumia Mamlaka ya Mahakama Kuu kumuamuru mleta maombi alipe fidia kwangu kwa sababu ya ucheleweshaji huu kwa sababu ya taabu aliyonisabishia kwa siku 139. Mumuamuru DPP anilipe fidia kwa usumbufu wote huu." Ameongeza Lissu
Akijibu hoja za Lissu Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga amepinga madai ya Lissu kuwa maombi hayo yameletwa kwa ajili ya kuchelewesha kesi akisema kuwa si nia ya DPP.
Kuhusu malipo ya fidia kwa kuchelesha usikilizwaji wa kesi amesema kuwa kifungu alichokitumka Lissu hakitumiki katika mazingira ya shauri hilo. Amefafanua kuwa akifungu hicho kinatumika pale ambapo mahakama inakuwa imesikiliza kesi na kuamua kuwa haina msingi.
Baada ya kusikiliza pingamizi la awali pamoja na maombi haya ya msingi Mahakama ya Rufani imeahirisha shauri hili na imesema itatangaza siku ya uamuzi.
Anadai fidia kwa kuhairishwa na kucheleweshma kwa kesi yake na maamuzi ya maombi ya kupinga kwake yamehairiswa. Afrika ni mav*iMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake.
Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija, Muruke na Khamis ambapo amedai kuwa kesi yake imwcheleweshwa kwa makusudi kwa siku 139 huku akikaa gerezani kwa mwaka mmoja na miezi mitafu sasa.
"Kwa jinsi ambavyo nimeyazungumzia yameletwa kwa lengo moja tu kurefusha kwsi ya msingi na ukirefusha kesi ya msingi mjibu maombi ataendelea kukaa Ukonga Prison na leo ni siku ya 139 tangu hii mbinu ya kuchelewesha kesi waianzishe. Nimo gerezani leo mwaka na miezi mitatu lakini kwa sababu ya ucheleweshaji huu wa siku 139 (kuanzia Februari 24, 2026 hadi leo Julai 3, 2026)" amelalamika Lissu
Ameendelea kuieleza Mahakama ya Rufani kuwa kitendo hicho cha DPP kinaendana kinyume na matakwa ya kikatiba juu ya DPP kuhakikisha mwenendo wa mahakama hautumiki vibaya ni maslahi ya umma kuzingatiwa huku akihoji ni yapi maslahi a umma kwenye kesi hiyo. "Maombi haya yana maslahi gani ya umma." alihoji Lissu
Katika kukazia maombi yake kwa Mahakama Lissu alisema "Ombi langu sio tu mahakama hii iyakatae maombi hayo ni kutumia Mamlaka ya Mahakama Kuu kumuamuru mleta maombi alipe fidia kwangu kwa sababu ya ucheleweshaji huu kwa sababu ya taabu aliyonisabishia kwa siku 139. Mumuamuru DPP anilipe fidia kwa usumbufu wote huu." Ameongeza Lissu
Akijibu hoja za Lissu Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga amepinga madai ya Lissu kuwa maombi hayo yameletwa kwa ajili ya kuchelewesha kesi akisema kuwa si nia ya DPP.
Kuhusu malipo ya fidia kwa kuchelesha usikilizwaji wa kesi amesema kuwa kifungu alichokitumka Lissu hakitumiki katika mazingira ya shauri hilo. Amefafanua kuwa akifungu hicho kinatumika pale ambapo mahakama inakuwa imesikiliza kesi na kuamua kuwa haina msingi.
Baada ya kusikiliza pingamizi la awali pamoja na maombi haya ya msingi Mahakama ya Rufani imeahirisha shauri hili na imesema itatangaza siku ya uamuzi.
Kaka utawalaumu chadema bure,asili ya watanzania walio wengi ni waoga na wabinafsi.Wafuasi wa chadema msipo kuwa makini Huyu mwenyekiti wenu atakuja kutoka segerea baada ya miaka 5
Honestly Mimi naumizwa na nyinyi wafuasi wa chadema na wanachama wote. Wachama Cha chadema bado sijaona nguvu ile mnayo iita people's power kutoka kwenu , ili takiwa muamshe Bonge la cosovo nchini mpaka serikali imuachie kiongozi wenu
Chadema ni chama ambacho kina wafuasi wengine sana lakini I can declare ni chama ambacho kimeshindwa kuwa tumia wafuasi wake vyema katika kuibana serikali ili iweze kukiheshimu hicho chama /kukiogopa ,
Kama chama viongozi wa chama wanapo kosa kauli nzito za ushawishi wa kudai haki zao pale wanapo onewa na kuwataka wanachi wao waandamane Kwa kusudio la kudai haki zao Kwa government hicho chama kinakuwa ni sawa na vyama vya kamati ya harusi tu nothing else
Viongozi wa chama wanapaswa kuwa na ushawishi mkubwa sana Kwa wafuasi wao kiasi kwamba hata serikali yenyewe iwe inaingia hofu ya kukichezea chama hicho ,
So in tz ni tofauti serikali unaweza kufanya chochote muda wowote na wakati wowote inavyojisikia na halafu isitokee kitu
Chadema kama kweli nyinyi ndio chama kikuu pinzani nchini na mpo kwenye nafasi ya kudai haki ya kweli Kwa Watanzania basi mnapaswa kujitafakari upya
Mfumo mzima wa sheria ni upotevu wa muda na kunyima Haki za binadamu. Kupiga tarehe mpaka lini?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake.
Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija, Muruke na Khamis ambapo amedai kuwa kesi yake imwcheleweshwa kwa makusudi kwa siku 139 huku akikaa gerezani kwa mwaka mmoja na miezi mitafu sasa.
"Kwa jinsi ambavyo nimeyazungumzia yameletwa kwa lengo moja tu kurefusha kwsi ya msingi na ukirefusha kesi ya msingi mjibu maombi ataendelea kukaa Ukonga Prison na leo ni siku ya 139 tangu hii mbinu ya kuchelewesha kesi waianzishe. Nimo gerezani leo mwaka na miezi mitatu lakini kwa sababu ya ucheleweshaji huu wa siku 139 (kuanzia Februari 24, 2026 hadi leo Julai 3, 2026)" amelalamika Lissu
Ameendelea kuieleza Mahakama ya Rufani kuwa kitendo hicho cha DPP kinaendana kinyume na matakwa ya kikatiba juu ya DPP kuhakikisha mwenendo wa mahakama hautumiki vibaya ni maslahi ya umma kuzingatiwa huku akihoji ni yapi maslahi a umma kwenye kesi hiyo. "Maombi haya yana maslahi gani ya umma." alihoji Lissu
Katika kukazia maombi yake kwa Mahakama Lissu alisema "Ombi langu sio tu mahakama hii iyakatae maombi hayo ni kutumia Mamlaka ya Mahakama Kuu kumuamuru mleta maombi alipe fidia kwangu kwa sababu ya ucheleweshaji huu kwa sababu ya taabu aliyonisabishia kwa siku 139. Mumuamuru DPP anilipe fidia kwa usumbufu wote huu." Ameongeza Lissu
Akijibu hoja za Lissu Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga amepinga madai ya Lissu kuwa maombi hayo yameletwa kwa ajili ya kuchelewesha kesi akisema kuwa si nia ya DPP.
Kuhusu malipo ya fidia kwa kuchelesha usikilizwaji wa kesi amesema kuwa kifungu alichokitumka Lissu hakitumiki katika mazingira ya shauri hilo. Amefafanua kuwa akifungu hicho kinatumika pale ambapo mahakama inakuwa imesikiliza kesi na kuamua kuwa haina msingi.
Baada ya kusikiliza pingamizi la awali pamoja na maombi haya ya msingi Mahakama ya Rufani imeahirisha shauri hili na imesema itatangaza siku ya uamuzi.
Kwa nini sio samia?Huyu Lucas Mwashambwa waniachie mimi nitamalizana naye kimila.
Samia huyo mbona tayari ameshaelekea qiblaKwa nini sio samia?
Kwasababu gani akae gerezani muda wote huo?Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Wewe hauna akili hiyo mbegu aliyokuzaa baba Yako Bora angeipiga punyeto bafuni ikafia mbeleKwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!