Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Yaani ukiwa mwana FISIEMU au mpenda FISIEMU lazma utakuwa mtu wa çhuki çhuki n
Unaona hizi akili zakutoka msalani bila kunawa mikono, ona sasa unakuja huku kuandika kinyesi.
hakuna haja ya mihemko wala kumbwelambwela nonsense jukwaani ikiwa uko pointless gentleman 🐒
 
Huoni ht aibu! Huyo kibaraka wa wazungu bado miaka 25 kumfikia Mandela aache kulialia

We lazma mama yako alikuzalia choo cha stendi, sio iwa fikra hizi fupi. We huyo mama kibaraka wa waarabu anakusaifia nn ww na akili zako matakoni?
 
Just relax plz gentleman 🤣
Ndugu yangu, Mimi ni mtanganyika na Nina uchungu wa hii nchi yangu na jinsi tunavyo pelekeshwa kama makondoo na hawa viongozi waliojigawia uongozi, hapa nilipofikia kwakweli siwezi kupuuzia watu wenyewe fikra fupi na wanaokejeli mambo muhimu
 
CCM huu unyama wanao mfanyia Mtanganyika mwenzetu sio haki kabisa na ndio maana sa hivi wamefikia hatua ya KUUA raia. Majamaa yamekuwa makatiri sana kitendo Cha KUUA Hadi polepole waliekaa nae meza moja. !!!
Unapofanya makosa possibility ya kuendelea kufanya ni kubwa sana ili uendelee kuficha makosa ya huko nyuma. Makosa juu ya makosa.
 
Lissu anapenda sana hela, hyo tabia asije akamrithisha mtoto wake wa kike
Hivi watanganyika ni nani alituloga, yaan nchi inapelekeshwa pelekeshwa tuu halafu anatokea huyu jamaa sijui kala maharage yaliyochacha nakuchanganywa na ugoro halafu anaandika ujinga kwenye mambo serious kabsa. Hii ndio Ile mijitu shule mlikuwa mnaandika majina yenu chooni
 
Ndugu yangu, Mimi ni mtanganyika na Nina uchungu wa hii nchi yangu na jinsi tunavyo pelekeshwa kama makondoo na hawa viongozi waliojigawia uongozi, hapa nilipofikia kwakweli siwezi kupuuzia watu wenyewe fikra fupi na wanaokejeli mambo muhimu
Kumbka,
hasira hasara gentleman.

mapambano yanahitaji maandalizi, malengo, mipango mikakati, nidhamu ya kiwango cha juu sana na uthubutu wenye malengo, na sio kiburi, majivuno, makelele na maneno mengi matupu tu 🐒
 
Screenshot_20260630-212828.jpg

Sometimes loosing control and going bat shit crazy and violent is the only way to deal with problems
 
Mmeshindwa kuonesha kosa alilofanya
Gentleman,
huna haja ya kuweweseka au kuingilia uhuru wa mahakama zenye weledi sana za Tanzania kwa mihemko.

wasio na hatia hawasoti korokoroni kama huyo kibaraka 🐒
 
Gentleman,
huna haja ya kuweweseka au kuingilia uhuru wa mahakama zenye weledi sana za Tanzania kwa mihemko.

wasio na hatia hawasoti korokoroni kama huyo kibaraka
Ndugu mtekaji.
Ni mwaka na zaidi mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu.
 
Ndugu mtekaji.
Ni mwaka na zaidi mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu.
Gentleman,
mahakama huru za Tanzania haziwezi kubabaika na hizo porojo sijui eti za kushindwa au kuchelewa,

hizo ni hot air mbele ya mahakama huru za Tanzania.

tumieni hizo porojo kutafuta kiki na public sympathy na si vinginevyo na itapendeza zaidi 🐒
 
Ndugu kidnapper
Ni zaidi ya mwaka mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu. Na hamtaweza kuonesha makosa yake kwani hayapo.
 
Ndugu kidnapper
Ni zaidi ya mwaka mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu. Na hamtaweza kuonesha makosa yake kwani hayapo.
ikiwa hana makosa,
kulikoni anasota korokoroni hadi anafika hatua ya kujifanya mwendawazimu?

hata ajifanye chizi,
anayo kesi ya kujibu na lazima awajibishwe kulingana na makosa yake, bila mbambamba au mihemko ya mfuata mkumbo yeyote yule 🐒
 
Back
Top Bottom