Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Mbona inashindikana kumtia hatiani? Unaonekana "smart sana" Nenda kamsaidie Katuga
hakuna kinachoshindikana kwenye mahakama huru za Tanzania gentleman,

na wala hakuna mahakama huru ya Tanzania itababaika na shinikizo, porojo au mihemko yako, mihemko ya kibaraka au makasiriko ya mamluki yeyote yule auemfuata mkumbo yeyote yule wa ndani au nje ya nchi.

Mahakama huru za Tanzania hutekeleza wajibu wake kwa uhuru na uwazi sana kulingana na katiba na sio kwa kukurupuka kama ambavyo ungependelea wewe na wenzako wenye uelewa na ufahamu mdogo kuhusu uendeshaji wa mashauri mahakamani.

Ni muhimu sana mkawa wastahilivu na wenye subra, na kuziacha mahakama huru za Tanzania kufanya kazi zao kwa uhuru,

Okay, gentleman?🐒
 
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Mtume amesema
“Watu wa kabla yenu waliangamia kwa sababu walikuwa wakimwacha mwenye nguvu bila adhabu na kumdhoofisha dhaifu.”
(Sahih al-Bukhari)

Maana ya hadith hii ya Muhammad ni hii:
Maana kwa lugha rahisi
Mtume ﷺ anaeleza kwamba mataifa ya kabla ya kuingia Uislamu ktk mataifa hayo yaliharibika na kuangamia kwa sababu ya mfumo mbovu wa haki, hasa:
Mtu mwenye nguvu au cheo alipofanya kosa, aliachwa bila adhabu
Mtu dhaifu au maskini akifanya kosa, alikamatwa na kuadhibiwa haraka
Maana ya msingi
👉 Hii inaonyesha ubaguzi katika sheria (double standards)
👉 Inaonyesha upendeleo kwa wenye nguvu na uonevu kwa wasio na nguvu
Funzo kuu
Haki inapopindishwa, jamii inaharibika
Sheria lazima iwe sawa kwa wote
Uadilifu unapaswa kushinda vyeo, mali, au nguvu za mtu
 
jikite tu kwenye hoja bila mihemko wala kumbwelambwela nonsense jukwaani gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Hapa kama naliona movie la The black sheep affair no2
 
Hivi DPP ni kwamba hana ushahidi au?!
Mahakama zetu nazo mdebwedo tu!
 
Wafuasi wa chadema msipo kuwa makini Huyu mwenyekiti wenu atakuja kutoka segerea baada ya miaka 5

Honestly Mimi naumizwa na nyinyi wafuasi wa chadema na wanachama wote. Wachama Cha chadema bado sijaona nguvu ile mnayo iita people's power kutoka kwenu , ili takiwa muamshe Bonge la cosovo nchini mpaka serikali imuachie kiongozi wenu

Chadema ni chama ambacho kina wafuasi wengine sana lakini I can declare ni chama ambacho kimeshindwa kuwa tumia wafuasi wake vyema katika kuibana serikali ili iweze kukiheshimu hicho chama /kukiogopa ,

Kama chama viongozi wa chama wanapo kosa kauli nzito za ushawishi wa kudai haki zao pale wanapo onewa na kuwataka wanachi wao waandamane Kwa kusudio la kudai haki zao Kwa government hicho chama kinakuwa ni sawa na vyama vya kamati ya harusi tu nothing else

Viongozi wa chama wanapaswa kuwa na ushawishi mkubwa sana Kwa wafuasi wao kiasi kwamba hata serikali yenyewe iwe inaingia hofu ya kukichezea chama hicho ,

So in tz ni tofauti serikali unaweza kufanya chochote muda wowote na wakati wowote inavyojisikia na halafu isitokee kitu

Chadema kama kweli nyinyi ndio chama kikuu pinzani nchini na mpo kwenye nafasi ya kudai haki ya kweli Kwa Watanzania basi mnapaswa kujitafakari upya
 
yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?

hii ni maajabu 🐒

Mama yako alimfananisha Lissu na Simba. Wewe kama leo angekuwa anakufananisha na Mnyama mama yako huyo angesema fisi mmoja au mbwa koko kule mchambawima aitwe jina lako. Wewe huwezi ukafungwa sababu si lolote Tundu Lissu ili vilaza wawa huru inabidi wamweke ndani sababu kwa hoja hawawezi bishana naye.
 
tuliza mihemko nonsense na ujikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
tuliza mihemko nonsense na ujikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Mama yako alimfananisha Lissu na Simba. Wewe kama leo angekuwa anakufananisha na Mnyama mama yako huyo angesema fisi mmoja au mbwa koko kule mchambawima aitwe jina lako. Wewe huwezi ukafungwa sababu si lolote Tundu Lissu ili vilaza wawe huru inabidi wamweke ndani sababu kwa hoja hawawezi bishana naye.
 
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Yaani ukiwa mwana FISIEMU au mpenda FISIEMU lazma utakuwa mtu wa çhuki çhuki n
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!

Mtu ukiwa mfuasi wa FISIEMU lazma uanze kuwa na çhuki çhuki zisizo eleweka, kingine ni ubongo kuoza, then unaanza kuropoka nakuongea kinyesi
 
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Yaani ukiwa mwana FISIEMU au mpenda FISIEMU lazma utakuwa mtu wa çhuki çhuki n
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?

hii ni maajabu 🐒
Unaona hizi akili zakutoka msalani bila kunawa mikono, ona sasa unakuja huku kuandika kinyesi.
 
Back
Top Bottom