Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
heri umejuwa miWAKILI ya SERIKALI haina akili SIO bure wanashindwa kesi mara kwa mara, kazi kuhonga WAZUNGU kufanya Lobying!
 
Mahakama zetu nazo hovyo sana kuendeshwa kwa remote sasa siku zote hao majaji walikuwa wanafanyia hilo shauri kitu gani au ndio mpka simu zipigwe juu kama waendelee kumshikilia Ukonga mpka akubali matakwa yao wanaendelea kujichumia dhambi tu moelle ya mtu asiye na hatia.​
 
yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?

hii ni maajabu 🐒
How do you sleep at night?
 
I think it's better you ask those nonsense lawyers who are trying to demand things which are useless before the law 🐒
I ask you a simple question kwa huu mtazamo wako na labda Mungu kakupa watu wanaokutegemea unawezaje kulala with this kind of thoughts in your head?
How do you sleep at night?
 
I ask you a simple question kwa huu mtazamo wako na labda Mungu kakupa watu wanaokutegemea unawezaje kulala with this kind of thoughts in your head?
How do you sleep at night?
Gentleman,
I think it's better you hide your empty head rather than exposing the vacuum of it to the platform. That's completely nonsense 🤣

if you think you have no point in regards to the motion on the table, just keep quiet and learn how others debate on it.

Mayhem are always nonsense in discussion. Try to be a gentleman, okay?🐒
 
Inashangaza sana kuona huyo DPP na mawakili wake wanalipwa mishahara kwa kodi zetu! Badala ya kutumika kwa manufaa ya umma, wameamua kutumika kwa manufaa ya watawala walioingia madarakani kwa hila na wizi wa kura.
Kunywa juice baridi nalipa
 
How do you sleep at night?
 
yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?

hii ni maajabu 🐒
Mbona inashindikana kumtia hatiani? Unaonekana "smart sana" Nenda kamsaidie Katuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…