hakuna haja ya mihemko wala kumbwelambwela nonsense jukwaani ikiwa uko pointless gentleman 🐒Yaani ukiwa mwana FISIEMU au mpenda FISIEMU lazma utakuwa mtu wa çhuki çhuki n
Unaona hizi akili zakutoka msalani bila kunawa mikono, ona sasa unakuja huku kuandika kinyesi.
Huoni ht aibu! Huyo kibaraka wa wazungu bado miaka 25 kumfikia Mandela aache kulialia
Kuna mbers wanakera sana, wako kama vichwa vimeganda, na Mimi siwezi kuqalazia damu lazma niwaweke wazihakuna haja ya mihemko wala kumbwelambwela nonsense jukwaani ikiwa uko pointless gentleman 🐒
Just relax plz gentleman 🤣Kuna mbers wanakera sana, wako kama vichwa vimeganda, na Mimi siwezi kuqalazia damu lazma niwaweke wazi
Ndugu yangu, Mimi ni mtanganyika na Nina uchungu wa hii nchi yangu na jinsi tunavyo pelekeshwa kama makondoo na hawa viongozi waliojigawia uongozi, hapa nilipofikia kwakweli siwezi kupuuzia watu wenyewe fikra fupi na wanaokejeli mambo muhimuJust relax plz gentleman 🤣
Unapofanya makosa possibility ya kuendelea kufanya ni kubwa sana ili uendelee kuficha makosa ya huko nyuma. Makosa juu ya makosa.CCM huu unyama wanao mfanyia Mtanganyika mwenzetu sio haki kabisa na ndio maana sa hivi wamefikia hatua ya KUUA raia. Majamaa yamekuwa makatiri sana kitendo Cha KUUA Hadi polepole waliekaa nae meza moja. !!!
Hivi watanganyika ni nani alituloga, yaan nchi inapelekeshwa pelekeshwa tuu halafu anatokea huyu jamaa sijui kala maharage yaliyochacha nakuchanganywa na ugoro halafu anaandika ujinga kwenye mambo serious kabsa. Hii ndio Ile mijitu shule mlikuwa mnaandika majina yenu chooniLissu anapenda sana hela, hyo tabia asije akamrithisha mtoto wake wa kike
Kumbka,Ndugu yangu, Mimi ni mtanganyika na Nina uchungu wa hii nchi yangu na jinsi tunavyo pelekeshwa kama makondoo na hawa viongozi waliojigawia uongozi, hapa nilipofikia kwakweli siwezi kupuuzia watu wenyewe fikra fupi na wanaokejeli mambo muhimu
kwanini ?Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Kumbka,
hasira hasara gentleman.
mapambano yanahitaji maandalizi, malengo, mipango mikakati, nidhamu ya kiwango cha juu sana na uthubutu wenye malengo, na sio kiburi, majivuno, makelele na maneno mengi matupu tu 🐒
Wewe ni kumaaayaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?
hii ni maajabu 🐒
ok 🐒Wewe ni kumaaa
okay,View attachment 3621657
Sometimes loosing control and going bat shit crazy and violent is the only way to deal with problems
Mmeshindwa kuonesha kosa alilofanyayaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?
hii ni maajabu 🐒
Gentleman,Mmeshindwa kuonesha kosa alilofanya
Ndugu mtekaji.Gentleman,
huna haja ya kuweweseka au kuingilia uhuru wa mahakama zenye weledi sana za Tanzania kwa mihemko.
wasio na hatia hawasoti korokoroni kama huyo kibaraka
Gentleman,Ndugu mtekaji.
Ni mwaka na zaidi mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu.
Ndugu kidnapperGentleman,
mahakama huru za Tanzania haziwezi kubabaika na hizo porojo sijui eti za kushindwa au kuchelewa,
hizo ni hot air mbele ya mahakama huru za Tanzania.
tumieni hizo porojo kutafuta kiki na public sympathy na si vinginevyo na itapendeza zaidi 🐒
ikiwa hana makosa,Ndugu kidnapper
Ni zaidi ya mwaka mmeshindwa kuonesha makosa ya mnayemtuhumu. Na hamtaweza kuonesha makosa yake kwani hayapo.