Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Ipo serikali isipo badilika yatatokea.

Hakuna alieyategemea yale ya mwaka jana.
 
ikiwa hana makosa,
kulikoni anasota korokoroni hadi anafika hatua ya kujifanya mwendawazimu?

hata ajifanye chizi,
anayo kesi ya kujibu na lazima awajibishwe kulingana na makosa yake, bila mbambamba au mihemko ya mfuata mkumbo yeyote yule 🐒
Ndugu kidnapper aka mtekwaji wa serikali ya CCM. Nyie mmeshindwa kuthibitisha uovu wa Lisu na hamtaweza kuonyesha makosa hayo kwani hayapo.
 
yaani kwa ujeuri, ujuaji na kiburi chako, uvunje sheria mwenyewe halafu udai fidia kwa kushikiliwa korokoroni kwa ujinga wako mwenyewe?

hii ni maajabu 🐒
Ignoramus idiot 🙄 7
 
Kwanza wamemuonea huruma sana! Ilitakiwa akae hata siku 700 ndo hyo rufaa isikilizwe!
Nasikia kila siku moja anayoendelea kuwa ndani ya Gereza Ndugu Lissu, shilingi 10,000 inaingia mfukoni mwako. Hongera sana.
 
MaCCM ni majitu maqumer sana. Wanamtesa Lissu gerezani kwanini? ******* kweli!
 
Anadai fidia kwa kuhairishwa na kucheleweshma kwa kesi yake na maamuzi ya maombi ya kupinga kwake yamehairiswa. Afrika ni mav*i

rais mstaafu wa Afrika kusini A. Bother aliwahi kusema waAfrika bado hatujawa binadamu kamili na hatuna ustaarabu watu wakamshambulia ila alikua sahihi
 
Kaka utawalaumu chadema bure,asili ya watanzania walio wengi ni waoga na wabinafsi.
Imagine hata waliopoteza ndugu kwenye lile sekeseke la oct hatujaona hata familia moja ikiomba mwili/miili ya ndugu zao hata kwa njia za kistaarabu!
Hii ndio bongo na sisi ndio raia wenyewe,hata CCM hana ushawishi kwa wafuasi wake hadi apenyeze posho 😂,ni ukweli unaoumiza sana kwa jinsi tulivyo wabinafsi.
 
Reactions: Auz
Mfumo mzima wa sheria ni upotevu wa muda na kunyima Haki za binadamu. Kupiga tarehe mpaka lini?
 
The More unazidi kukaa jela ukiwa MAHABUSU unazidi kuwa mkali na hatari.

Magereza inaanza kukuona sio rafiki tena na sehemu pekee kwako wanaona ni Uraiani.

Muda utafika Watamtoa Lissu maana kwasasa yupo level ambayo Magereza si adhabu tena kashatengeneza maisha, kashatengeneza ratba yake anajua akiamka mpk analaal nini afanye.

Kinachoenda Tokea ni Huko walipomweka patakua si sehem nzuri tena kumuweka or else waamue kumfunga.

Mtu aina ya LISSU hakai muda mrefu Mahabusu at anytime wanamtapika...

Ili ujue he is no longer Lissu you know kwa ujasiri na nguvu na uwezo alionao sasa..

Take a look ya muonekano wake kichwan body language utajua he is no longer a lion but Now he is A DANGEROUS LION IN A CAGE and there is no safe place than free him out of that CAGE cause the more he is in..the more the trouble...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…