Hivi kutaka kujua jambo ni kuishiwa hoja? Hii Tanzania hii!Lisu mtata sana.
Chadema wameishiwa hoja!
Kama kawaida yetu wazee wa kupigwaTumeshapigwa
Familia ake imekwambia inashida?Lissu ana maswali ya kijinga. Ukiwa jobless ughaibuni na akili inafubaa. Arudi nchini tu aje tumpe shughuli za kufanya. Otherwise amekuwa IRRELEVANT
Kama producer ndio allipa nchi, how comes inchi imetumia 11B kuandaa same film?Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
Hizo pesa zitaperekwa kizimkazi Zenj,zitaenda kujenga flyovers na kuongeza terminals pale Zenj airport.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Wewe kama nani kwenye hiyo filamu hata uwe na mgao wako?Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Tena kidogo sana hizo kwa filamu ya kuitangaza nchi kuvutia watalii. Fikiria ni matrilioni mangapi nchi itapata faida kwa kuvutia na kuongeza idadi ya watalii?Kama producer ndio allipa nchi, how comes inchi imetumia 11B kuandaa same film?
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemko
Serikali ilishatoa tamko haikugharamia hata Mia kwenye kazi hiyo
Halafu ieleweke lengo letu sio kutengeneza filamu za biashara, Mama samia sio bongo movie
Lengo ni kuitangaza nchi kiutalii, hivyo hata muandaaji akiamua kuigawa bure hiyo ndio faida zaidi kwetu
Unaweza kukuta huyu ni msomi na anafamilia Watu wanamtegemea.Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepanga katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Shida umejibu kimpasho na huwenda ukawa na hoja ila uwasilishaji wako umefanya uonekana mwehu hebu rudia na uone ulivyoandikaTundu Lissu na WAPINZANI wa Rais Samia wamekuwa kama pakashume. Paka shume akikosa chakula anakwenda kila jalala anapekua kutafuta chakula.
Samia aliposema anacheza film ya kutangaza utalii mlibeza sana. Kisha mkasema anatumia vibaya fedha za Nchi. Serikali iliwajibu kuwa anayegharamia ni wafadhili mbalimbali.
Hatimaye mzigo umeteremka uko intact na unasoma vibaya huko majuu. Choyo kimewashika, Lissu anauliza haki ni za nani?
Hata kama haki by 100 za wanaonunua hiyo film kama akina Netflix au Histoy Channel au National Geographic, as long as itatuletea watalii, sisi kwetu hiyo ndiyo DIVIDEND yetu, Period!!
Hizo fedha za kuuza film ni peanut
Hawawezi jibu wataruka rula kama bisi kwenye ovenSerikali ndio ilizikusanya hizo pesa kutoka kwa wadau wengine ili kuzitumia kwa maslahi ya umma wa watanzania Na ndio kazi ya serikali ya siku zote. Muongozaji wa hiyo movie hakutoa hata senti tano.
Sasa swali linakuja, pesa za mauzo ya hiyo filamu atalipwa nani?
Watalipwa waandaji?
Italipwa serikali ya Tanzania?
Watalipwa wadau waliochangia?
Naona watu wanasahau nini hasa sababu au dhamira kuu ya kutengeneza hiyo filamu.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Kweli ndugu unaona hapo kwenye picha ya Background wameondoa mlima wetu pendwa kilimanjaro wameweka mbuyu na passport ya kusafiria ya Director wa FilamBiashara kubwa Amazon ?
I doubt it that is sale / rent price hapo Amazon anakula commission yake accordingly it depends na aliyoiweka ameingia mkataba gani..., Rent / Sale kwa bei hio haimaanishi itauzwa au kuwa rented inaweza isipate hata mteja / muangaliaji
Kwenye hili faida ingebidi ipatikane kama promotion ila tatizo langu kilichokuwa promoted huenda kikawa more of a campaign to individuals na sio mbuga / nchi
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemko
Serikali ilishatoa tamko haikugharamia hata Mia kwenye kazi hiyo
Halafu ieleweke lengo letu sio kutengeneza filamu za biashara, Mama samia sio bongo movie
Lengo ni kuitangaza nchi kiutalii, hivyo hata muandaaji akiamua kuigawa bure hiyo ndio faida zaidi kwetu
Ulitaka tufanane mawazo? Kwa hiyo mnapigania katiba mpya ili watanzania wote wawe na mawazo au maoni kama ya Chadema, wakienda tofauti mtawakamata? Jinga kabisaUnaweza kukuta huyu ni msomi na anafamilia Watu wanamtegemea.
PLissu analipa kodi ipi? Acha mambo ya kitoto. Hiyo sio hoja ya mtu mzima ambaye Ni mwenyekiti wa chama
Hakuna mtza asiyelipa kodiLissu analipa kodi ipi? Acha mambo ya kitoto. Hiyo sio hoja ya mtu mzima ambaye Ni mwenyekiti wa chama
vibaraka wa ccm wanaona ni yao peke yaoHata wewe na mkeo yenu pia.
Swali la Lissu ndo lipo hapo sasa, hiyo faida ya 50% inakwenda wapi?Sasa alitegemea itangazwe wapi?
Kwenye kumbi za sinema bongo ama?
Kiuhakika Amazon Prime wanalipa royalty na wanalipa 50% ya faida yote wanazopata
Pia inategemea na gharama ulizoingiza kama ni nyingi utalipwa zaidi
Mwanasheria halafu anashindwa hata kujiridhisha kwanza kwenye Google?
Ulanzi huuUlitaka tufanane mawazo? Kwa hiyo mnapigania katiba mpya ili watanzania wote wawe na mawazo au maoni kama ya Chadema, wakienda tofauti mtawakamata? Jinga kabisa
Mbona mlikuwa mnamwamini yule kenge wakati ule alipokuwa akidanganya kwamba miradi yote ilikuwa ikitekelezwa kwa fedha za ndani kumbe nyuma ya pazia alikuwa kwapukwapu na mikopo juu.