Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
Kama producer ndio allipa nchi, how comes inchi imetumia 11B kuandaa same film?
 
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter

Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?

Hizo pesa zitaperekwa kizimkazi Zenj,zitaenda kujenga flyovers na kuongeza terminals pale Zenj airport.
 
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter

Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?

Wewe kama nani kwenye hiyo filamu hata uwe na mgao wako?

bona filamu nyingi sana zinazohusiana na mbuga za wayama na utalii zimeshafanywa Tanzania haujanyanyua mdomo kuuliza?

Au mmeshaona donge kuwa Mama kaonesha umahiri mpaka kwenye kuigiza teality show?

Ujinga huo.

Tanzania ina ada na kanuni na hata ilibidi yenyewe ndio ilipie ghaama za kufanyiwa filamu na kutagaziwa utalii. Faida zake ni kubwa sana na endelevu.

Ni mtu mjinga tu ataeulizia mgao wa hiyo filamu. Pengine walioitengeneza wasirudishe hata gharama zake.

Mtu ambae kidogo zinachaji atafikiria kuitumia fursa zitazopatikana kutokana na filamu hiyo. Walioitengeza na kuicheza hiyo filamu ndio wa kuwawachia mafao ya filamu wagawane wao kwa faida kubwa, ikiwepo.

Ni ujuha kuanza kufikiria mapato ya kukodisha na kuuza filamu wakati unafursa ya kuuza utalii kwa watalii watakaokuja kujionea lie waliyoyaona kwenye filamu.

Hivi huyu Mnyiramba kumbe ni poyoyo wa kiwango hicho. Pambaf kabisa.
 
Kama producer ndio allipa nchi, how comes inchi imetumia 11B kuandaa same film?
Tena kidogo sana hizo kwa filamu ya kuitangaza nchi kuvutia watalii. Fikiria ni matrilioni mangapi nchi itapata faida kwa kuvutia na kuongeza idadi ya watalii?
 
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemko
Serikali ilishatoa tamko haikugharamia hata Mia kwenye kazi hiyo
Halafu ieleweke lengo letu sio kutengeneza filamu za biashara, Mama samia sio bongo movie
Lengo ni kuitangaza nchi kiutalii, hivyo hata muandaaji akiamua kuigawa bure hiyo ndio faida zaidi kwetu

Kwa hiyo Rais na msafara wake nani ameulipia? Kukaa ulaya muda wote nani analipa gharama? Hizo billion saba zilitolewa na akina nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepanga katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Unaweza kukuta huyu ni msomi na anafamilia Watu wanamtegemea.
 
Tundu Lissu na WAPINZANI wa Rais Samia wamekuwa kama pakashume. Paka shume akikosa chakula anakwenda kila jalala anapekua kutafuta chakula.

Samia aliposema anacheza film ya kutangaza utalii mlibeza sana. Kisha mkasema anatumia vibaya fedha za Nchi. Serikali iliwajibu kuwa anayegharamia ni wafadhili mbalimbali.

Hatimaye mzigo umeteremka uko intact na unasoma vibaya huko majuu. Choyo kimewashika, Lissu anauliza haki ni za nani?

Hata kama haki by 100 za wanaonunua hiyo film kama akina Netflix au Histoy Channel au National Geographic, as long as itatuletea watalii, sisi kwetu hiyo ndiyo DIVIDEND yetu, Period!!

Hizo fedha za kuuza film ni peanut
Shida umejibu kimpasho na huwenda ukawa na hoja ila uwasilishaji wako umefanya uonekana mwehu hebu rudia na uone ulivyoandika

Lisu kama mtanzania ana haki ya kuuliza na anawakilisha wengi ambao wamataka kujua hili.

Ila kwasababu una chuki moyoni mwako umeandika kama mwimba taarabu za mipasho
 
Serikali ndio ilizikusanya hizo pesa kutoka kwa wadau wengine ili kuzitumia kwa maslahi ya umma wa watanzania Na ndio kazi ya serikali ya siku zote. Muongozaji wa hiyo movie hakutoa hata senti tano.

Sasa swali linakuja, pesa za mauzo ya hiyo filamu atalipwa nani?
Watalipwa waandaji?
Italipwa serikali ya Tanzania?
Watalipwa wadau waliochangia?
Hawawezi jibu wataruka rula kama bisi kwenye oven
 
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter

Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?

Naona watu wanasahau nini hasa sababu au dhamira kuu ya kutengeneza hiyo filamu.

Raisi wetu sio muigizaji, na hakutengeneza hiyo filamu ili kupata kipato kutoka kwenye mauzo yake.

Tunatakiwa kujua kuwa hiyo filamu ni kama tangazo. Sasa ulishaona wapi tangazo linamlipa aneyetangaza kwa kuliuza hilo tangazo? Yeye ndio anayelipia kwanza ili tangazo lake litangazwe.

Tunatakiwa tufurahi kuona hiyo filamu ipo huko amazon, sijui youtube na kwingine na viewers ni wengi maana kadri inavyosambaa ndivyo Tanzania inakua imejitangaza na ndivyo tutakavyozidi kupata watalii.

Maana ndio lengo kuu, KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA NA KUKUZA UTALII. Sio kuiuza hiyo filamu.

Kazi nzuri mama, ipo siku Watanzania tutanufaika sana kutokana na hizi jitihada.
 
Biashara kubwa Amazon ?

I doubt it that is sale / rent price hapo Amazon anakula commission yake accordingly it depends na aliyoiweka ameingia mkataba gani..., Rent / Sale kwa bei hio haimaanishi itauzwa au kuwa rented inaweza isipate hata mteja / muangaliaji

Kwenye hili faida ingebidi ipatikane kama promotion ila tatizo langu kilichokuwa promoted huenda kikawa more of a campaign to individuals na sio mbuga / nchi
Kweli ndugu unaona hapo kwenye picha ya Background wameondoa mlima wetu pendwa kilimanjaro wameweka mbuyu na passport ya kusafiria ya Director wa Filam
 
Kazi ipo hawa ndiyo ma think tank wa chama
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemko
Serikali ilishatoa tamko haikugharamia hata Mia kwenye kazi hiyo
Halafu ieleweke lengo letu sio kutengeneza filamu za biashara, Mama samia sio bongo movie
Lengo ni kuitangaza nchi kiutalii, hivyo hata muandaaji akiamua kuigawa bure hiyo ndio faida zaidi kwetu
 
Unaweza kukuta huyu ni msomi na anafamilia Watu wanamtegemea.
Ulitaka tufanane mawazo? Kwa hiyo mnapigania katiba mpya ili watanzania wote wawe na mawazo au maoni kama ya Chadema, wakienda tofauti mtawakamata? Jinga kabisa
 
Sasa alitegemea itangazwe wapi?
Kwenye kumbi za sinema bongo ama?

Kiuhakika Amazon Prime wanalipa royalty na wanalipa 50% ya faida yote wanazopata
Pia inategemea na gharama ulizoingiza kama ni nyingi utalipwa zaidi

Mwanasheria halafu anashindwa hata kujiridhisha kwanza kwenye Google?
Swali la Lissu ndo lipo hapo sasa, hiyo faida ya 50% inakwenda wapi?
 
Mbona mlikuwa mnamwamini yule kenge wakati ule alipokuwa akidanganya kwamba miradi yote ilikuwa ikitekelezwa kwa fedha za ndani kumbe nyuma ya pazia alikuwa kwapukwapu na mikopo juu.

Alikwapua kufanya miradi, ndege zipo, road zipo, miradi inaonekana, kama hufaidi ww basi ni ndugu yako

Hiyo movie mpaka sasa hata kuiona umeiona ndugu? Au unashabikia Tu kufata mkumbo
 
Back
Top Bottom