Kwa kazi ya uchawa wa mama, wewe ni mwepesi sana. Uachiwe idara ya vijembe kwa wavaa vijora.Hata Chadema ni chama Cha wananchi, wamesajikiwa, wanavuta ruzuku sometimes, na Sasa wanatuchangusha, hivyo kwa kuwa wanajitambulisha kupitia umma, wanakaguliwa na CAG, wao pia lazima tuwajadili
Acheni gubu basi kuwa mpinzania mnadhani ni kupinga kila kitu? wewe unajuwa gharama za kujitangaza? unataka kutangaza nchi halafu unataka ulipwe wewe? acheni ujinga huu aje mtu aseme napiga picha biashara yako halafu umwambie hapana nilipe pesa mbona ujinga huu. Nchi haifanyi biashara katika hili lengo ni kuitangaza nchi ili sector ya utalii ikue wale wanapokuja ndio pesa inaingia katika nchi malengo ya muda mrefu. kuna nchi wananunua dakika tu CNN huko kutangaza nchi yao unajuwa wanalipa ngapi? Visit Rwanda unajuwa wanalipa ngapi? anakuja mtu ana ushawishi mkubwa katika media USA anafanya biashara lakini wakati huohuo na yeye anatengeneza pesa lakini anakutangaza duniani wewe ukatae eti nilipe, acheni ujinga sio kila jambo kupinga tu.Out of context, zinaongelewa pesa za umma sio za ponjoro.
Hizi hela zote usikute zinakwenda kwa Kikwete au Mama mwenyewe, zinazobaki zinakwenda chamani if that.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Swali la Lissu ndo lipo hapo sasa, hiyo faida ya 50% inakwenda wapi?
nje ya ulingoChadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepanga katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Hata Chadema ni chama Cha wananchi, wamesajikiwa, wanavuta ruzuku sometimes, na Sasa wanatuchangusha, hivyo kwa kuwa wanajitambulisha kupitia umma, wanakaguliwa na CAG, wao pia lazima tuwajadili
Wahusika wamekusikia, haya jibu hoja ya Lisu!!Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepanga katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Kwa kinyakyusa tunaita A PATENTAmeandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Zitto ni karunguyeye wa mwandiga. Ingekuwa awamu ya tano angekuwa akamshinikiza CAG afanye ukaguzi. Mduanzi ,mchumia tumbo wa karneAulizwe mchumi Zitto.
Nashukuru kwa kunipa cheoKazi ipo hawa ndiyo ma think tank wa chama
Wadau wa maendeleoKwa hiyo Rais na msafara wake nani ameulipia? Kukaa ulaya muda wote nani analipa gharama? Hizo billion saba zilitolewa na akina nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hana cha kupoteza akidharauliwa na wewe chakubanga huna msaada wowote zaidi ya kupost ushuzi wako apa.Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Hela hiyo iende kwa mwenyekiti wa Chadomo ili inunulie mizingaAmeandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Wadau hawana familia sio?Serikali haikutoa hata senti moja. Wamesema ni fedha za wadau wengine.
Ndiyo imeniambia kuwa ana shidaFamilia ake imekwambia inashida?
A silly question deserves a silly answer, period.Shida umejibu kimpasho na huwenda ukawa na hoja ila uwasilishaji wako umefanya uonekana mwehu hebu rudia na uone ulivyoandika
Lisu kama mtanzania ana haki ya kuuliza na anawakilisha wengi ambao wamataka kujua hili.
Ila kwasababu una chuki moyoni mwako umeandika kama mwimba taarabu za mipasho