Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Siku zote ukiona mwafrika ameambatana na mzungu kwenye jambo lolote hapo ni sawa na mbwa koko na anayemfuga.hii tumepigwa asubuhi tu bado vipande vitakavyotumika kutengenezea filamu nyingine na vitabu vitakavyoandikwa kutokana na move hiyo vyenye pande mbili positive na negative kweli watanganyika ni wadanganyika
Mbwa atakimbiza swala na kumkata..wakati wa kumla atakaa chini ya meza akigemea hisani ya bwana wake kumrushia japo mfupa.
Tuna safari ndefu haswa.