Kumbuka inauzwa. Pesa zinaenda kwetu.That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka inauzwa. Pesa zinaenda kwetu.That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Mimi nimejibu kuhusu filamu sio hayo yako mengine na niliyemsikia ni Msigwa sio huyo mwingine.Rais amesema wametumia billion 11 kuandaa filamu ambayo inalenga kuleta fedha nyingi ndani kuliko ingekutumika kujenga vituo vya afya na hela ingekaa.
Rais hasiyetumia pesa ya serikali ni yupi hapa Africa?
Hata kama zimechangwa ni za umma kama sivyo watueleze ni za nani?
Mafuta kwenye magari na ndege za serikali aliweka nani?
Na mwisho si msemaji wa serikali ni Katibu wa wizara ya sanaa na utamaduni
Tatizo la watanzania ni kukurupuka kwa mihemkoKama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Tatizo lako ni akili tu. Ungekuwa na akili usinge onngea utumbo mbele ya wanaume.Mkuu, nyie Chadema si ndio mnataka uhuru wa maoni? Ila sikulaumu, umechelewa kuolewa, ndio sababu
Kwani yule aliyekufa nchi hii yote ilikuwa mali yake? Mbona alikuwa akifanya atakavyo, acheni upumbavu.Huu ujinga utawaisha lini??. Hiyo mbunga ni Mali ya Samia?
Serikali haijagharamia filamu hii. Na hili lilishafafanuliwaKama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Watu wanajadili maslahi ya Taifa wewe unaingiza mada ya kijinga, ni lini mtaelimika?Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Mbona mlikuwa mnamwamini yule kenge wakati ule alipokuwa akidanganya kwamba miradi yote ilikuwa ikitekelezwa kwa fedha za ndani kumbe nyuma ya pazia alikuwa kwapukwapu na mikopo juu.Na ww unaamini hahahaha
Ni wakati gani Magufuli aliwahi kusema amekopa na bado mlikuwa mlikuwa mkipigia makofi, mwacheni mama afanye kazi.Muhimu tuambiwe hiyo pesa ilipotoka, ili kama ni mkopo tujue kama hayo mapato ya hiyo movie ndio yatatumika kulipa huo mkopo.
Serikali lazima iwe wazi kwa wananchi wake, isiwe na mambo ya siri hii itasababisha watu kuanza kuitilia shaka.
Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Umeshaenda kukatiwa kipande chako chato karibu na kaburi la mfalme wenu.Swali lake huwezi kujibu acha brabra za Lumumba.
Hata wewe na mkeo yenu pia.kuna watu mnadhani hii nchi ni mali yenu na wake zenu tu
Rais wetu mumemfanya jotty?Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata