New York, April 18, 2022 (GLOBE NEWSWIRE) -- On the heels of a visit to the White House, President Samia Suluhu Hassan visits NYC for a royal tour: The...
www.globenewswire.com
Kama umesikiliza msigwa aliposema inaonyeshwa WTTW huko USA tayari unapata clue ya wapi pa kuanzia kuhusu ukweli wa hiki kipindi na future promotion plans zake.
‘Royal Tour’ documentaries ni franchise za PBS America ndio wamiliki wa vipindi.
Sometimes kupata sio lazima iwe loyalties.
Imagine serikali ingekuwa inalipia advertisement za kutangaza mbuga kwa mbinu nyingine si nchi ingeingia gharama zaidi.
PBS America watatumia nguvu kwenye promotional, hela zao ku push hiyo programme kuangaliwa na watu wengi na wanaweza kuirusha kwenye media zao; huko ni kuitangaza nchi bure kwa upande wetu ata kama wao wana financial gain.
Vinginevyo ingekuwa ni programme yetu kuirusha tu kwenye hiyo WTTW channel during ‘peak viewing hours’ utaambiwa $2 million dollars each time (tena hapo ndio umeurumiwa si ajabu).
Mambo mengine ni kukubali tu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake PBS wapate hela zao, na sisi tunatangaza nchi.
Upuuzi wao ni kun’gan’gania kumuongelea huyo Peter mtengeneza kipindi as if yeye pekee anazo hizo financial muscles ya kukipeleka kipindi mbali, badala ya kusema PBS ndio wenye kipindi.
Ukishaambiwa PBS ndio muhusika mkuu no doubt millions of people will watch that programme world wide.
Ata huko Amazon sijui Apple TV sio tu kuna makato kila mtu anapita Gali, ata kuiweka tu programme picha kwenye web page watu wajue ipo kwa siku ni million kadhaa.
Wasemaji wa serikali wasio na exposure wala akili ya propaganda; it’s beyond me watu wa ovyo ovyo wanafika vipo nafasi za juu Tanzania.