Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kuwa mpole ndugu.Kwenye Royal Tour Serikali haijatoa hata senti moja. Program nzima iligharamiwa na kampuni za tours hapa nchini mwanzo mwisho kupitia Wizara ya Utalii. This is the fact, kama hamtaki mnaacha. Mwakani mtumeni CAG wenu aje na audit report ya Umoja Party kama hamtakuwa na imani na Kichere.
Serikali ilikusanya pesa kutoka kwa wadau wa utalii hapa nchini ili kuwezesha hiyo filamu kutengenezwa.
Sasa swali linakuja hapa:
Copyright wa hiyo filamu ni nani? Serikali ya Tz, wadai wa utalii waliochangia au muongozaji?
Kwa sasa hiyo movie imeanza kuuzwa na kukodishwa Amazon, pesa zinakwenda mfukoni kwa nani? Kwa serikali ya Tz, wadau wa utalii waliochangia au muongozaji?