Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Kwenye Royal Tour Serikali haijatoa hata senti moja. Program nzima iligharamiwa na kampuni za tours hapa nchini mwanzo mwisho kupitia Wizara ya Utalii. This is the fact, kama hamtaki mnaacha. Mwakani mtumeni CAG wenu aje na audit report ya Umoja Party kama hamtakuwa na imani na Kichere.
Kuwa mpole ndugu.
Serikali ilikusanya pesa kutoka kwa wadau wa utalii hapa nchini ili kuwezesha hiyo filamu kutengenezwa.
Sasa swali linakuja hapa:
Copyright wa hiyo filamu ni nani? Serikali ya Tz, wadai wa utalii waliochangia au muongozaji?

Kwa sasa hiyo movie imeanza kuuzwa na kukodishwa Amazon, pesa zinakwenda mfukoni kwa nani? Kwa serikali ya Tz, wadau wa utalii waliochangia au muongozaji?
 
Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Unaifahamu bajeti ya utengenezaji wa hiyo filamu? Ilipitishwa na bunge? Ni tsh ngapi?

Ukishapata hayo majibu uzingatie kwamba target ya nchi ni kukuza utalii kupitia filamu halafu ndo uendelee na dharau zako unazozifikiri.
 
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Unakaa nyaa gwa si bure
 
Kuwa mpole ndugu.
Serikali ilikusanya pesa kutoka kwa wadau wa utalii hapa nchini ili kuwezesha hiyo filamu kutengenezwa.
Sasa swali linakuja hapa:
Copyright wa hiyo filamu ni nani? Serikali ya Tz, wadai wa utalii waliochangia au muongozaji?

Kwa sasa hiyo movie imeanza kuuzwa na kukodishwa Amazon, pesa zinakwenda mfukoni kwa nani? Kwa serikali ya Tz, wadau wa utalii waliochangia au muongozaji?
Serikali itakuwa ilikuwa inasema ukweli hawaja tumia hela zao; well ukitoa gharama za kumlinda raisi.

PBS awawezi tengeneza programme kwa hela ya nchi halafu wao wabaki na hati miliki, ‘Royal Tour’ ni franchise yao so ni ukweli hatuja tumia hela zetu.
 
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Wewe mjinga huko marekani mama na timu yake wanaenda Kwa mishahara yao? Au hizo sio pesa za serikali?
 
Namsikia hata yule alietengeneza sinema ya mateso ya yesu hakutoa gawio kwa mtu matokeo yake alifilisika akawa kama matonya kule Vatican mpaka akafa kwa njaa,watanzania tukigundua kama tumepigwa staring na director nao hawa yatawakuta tu Ya mwenzao wa movie ya yesu,tusijemkuta mtu amekuwa ombaomba pale Lumumba.
 
Lisu kauliza swali zuri ila kwasabu ni mtu wa gubu bado watu wanahisi ni swali la ukorofi.
Hilo swalo hakuna mtanzania wakawaida amewahi kuliona. Huenda Lissu kanusa mpango haramu juu ya hiyo movie
 
mmeambiwa Watanzania hakuna shilingi yetu iliyotumika ni mabeberu ndio wamedhamini pambano,, malipo yao ndio hayo sasa wanajilipa.

Watanzania tunapata malipo yetu kwa watalii kuja kwa wingi kupitia hiyo filamu...watalii wakija wataleta madolali..
wasipokuja?
 
Wataalamu wa biashara za mitandaoni njooni huku sitaki watu waliosoma degree za kawaida za business hata ziwe PhD au waliosoma somo la business kama somo kwenye digrii zao

Nataka pure expert wa online business wajibu hili la mleta mada
Hata unachotaka naona hukijui, "online business" itakusaidia nini, kumbe kitu unachotaka kujua ni maswala ya utengenezaji movie na taratibu za biashara katika nyanja hiyo.
 
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Kwa akili hii nchi hii kamwe haiwezi kuendelea.
Bora wafu kuliko mpumbavu wa namna hii kuishi.
 
Pesa zikishaingia serikalini huwa ni mali ya umma, mali ya serikali, haijarishi ni nani alizitoa.
Kikubwa sote tunakubaliana kuwa serikali ndio ilizikusanya kutoka kwa wadau mbali mbali (na sio muongozaji wa filamu alizitoa mfukoni mwake), tuna haki kujua pesa za mauzo ya filamu zitakwenda mfukoni kwa nani?

Hoja hujibiwa kwa hoja, na uwazi kwenye mikataba ya kipesa ni jambo la msingi sana.
Ahsante sana mkuu, umewakilisha yaliyomo moyoni mwangu vyema.

Tuanzie kwa hao wadau. Ni akina nani hawa na kiasi cha ushiriki wao katika mradi kikoje. Serikali ni lazima iweke wazi mambo haya.
 
Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
Serikali ilitwambia kuwa imelipa zaidi ya bilioni 7
 
Tumeshapigwa
Sasa mnaPigwaje wakati idea ya Royal Tour si ya kwenu?? Je mna MoU yoyote??
Mmechangia kiasi gani? Kwa bajeti ipi?
Mkinufaika sana mtaongeza idadi ya watalii na investors... Ila mgao wa filamu msahau!
 
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Haitoshi kusema hivyo.
Serikali iseme ni nani alitoa hela hiyo. Hapo hapawezi kubaki kuwa ni siri.
 
Sasa mnaPigwaje wakati idea ya Royal Tour si ya kwenu?? Je mna MoU yoyote??
Mmechangia kiasi gani? Kwa bajeti ipi?
Mkinufaika sana mtaongeza idadi ya watalii na investors... Ila mgao wa filamu msahau!
I am afraid you got (may have) a point on the "idea ya Royal Tour." That's Intellectual Property; but, still, we have a right to know the parties involved.
 
Serikali ilitwambia kuwa imelipa zaidi ya bilioni 7
Serikali imesema pesa ya gharama sio Yao wazee, production Kama hiyo Ina budget ambayo mwenye production ndio anagharamia ambao Ndio huyo peter and co. Billion 7 ndio gharama serikali waliyoitumia kufanikisha suala Hilo ambayo hawakuitoa wao. Pbs ni media kubwa hawawezi wakatoka huko waje kushoot documentary Kwa kutegemea funds kutoka kwetu
 
Aliko safari yake imegharamiwa na Peter Greenberg? kwenye hiyo tour usafiri, malazi, ulinzi ulikuwa unalipwa na Peter Greenberg?
Safari aliyoenda kuzindua filamu hiyo Kwa maoni yangu, pesa ya huko serikali anajitegemea Mimi naongelea production ya hapa.
 
Pesa zikishaingia serikalini huwa ni mali ya umma, mali ya serikali, haijarishi ni nani alizitoa.
Kikubwa sote tunakubaliana kuwa serikali ndio ilizikusanya kutoka kwa wadau mbali mbali (na sio muongozaji wa filamu alizitoa mfukoni mwake), tuna haki kujua pesa za mauzo ya filamu zitakwenda mfukoni kwa nani?

Hoja hujibiwa kwa hoja, na uwazi kwenye mikataba ya kipesa ni jambo la msingi sana.
Maswali ya WAPINZANI kila siku ni ya kipumbavu tu. Yaani watu wamejenga proposal, wameinadi na sponsorz wamekubali ku finance. Biashara tunatangaziwa sisi na watalii watatulipa sisi, bado unataka kujua fedha za film??

Ash kweli mupo JOBLESS na hamna agenda ndiyo maana mnajadili upumbavu tu
 
I am afraid you got (may have) a point on the "idea ya Royal Tour." Still, we have a right to know the parties involved.
Kipindi kile tulihoji sana ushiriki wa ghafla wa SSH kwenye Royal Tour. Ila tulibezwa sana...
Tulionekana kama tunazuia pasi au magoli ya SSH wakati anaupiga mwingi...
Sasa ngoja wazungu wawaoneshe jinsi ya kupiga... Tena vile michongo inapitia ofisi namba moja... Wala CAG hatoweza kukagua chochote hapo.
 
Back
Top Bottom