Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

hii tumepigwa asubuhi tu bado vipande vitakavyotumika kutengenezea filamu nyingine na vitabu vitakavyoandikwa kutokana na move hiyo vyenye pande mbili positive na negative kweli watanganyika ni wadanganyika
Siku zote ukiona mwafrika ameambatana na mzungu kwenye jambo lolote hapo ni sawa na mbwa koko na anayemfuga.

Mbwa atakimbiza swala na kumkata..wakati wa kumla atakaa chini ya meza akigemea hisani ya bwana wake kumrushia japo mfupa.

Tuna safari ndefu haswa.
 
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Vipi na ya uzinduzi je
 
Kwenye vitu vya msingi unaongea ujinga hivi. Wewe utakuwa umeharibiwa maumbile
Mkuu, nyie Chadema si ndio mnataka uhuru wa maoni? Ila sikulaumu, umechelewa kuolewa, ndio sababu
 
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Rais amesema wametumia billion 11 kuandaa filamu ambayo inalenga kuleta fedha nyingi ndani kuliko ingekutumika kujenga vituo vya afya na hela ingekaa.

Rais hasiyetumia pesa ya serikali ni yupi hapa Africa?
Hata kama zimechangwa ni za umma kama sivyo watueleze ni za nani?
Mafuta kwenye magari na ndege za serikali aliweka nani?

Na mwisho si msemaji wa serikali ni Katibu wa wizara ya sanaa na utamaduni
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.

Na ww unaamini hahahaha
 
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Muhimu tuambiwe hiyo pesa ilipotoka, ili kama ni mkopo tujue kama hayo mapato ya hiyo movie ndio yatatumika kulipa huo mkopo.

Serikali lazima iwe wazi kwa wananchi wake, isiwe na mambo ya siri hii itasababisha watu kuanza kuitilia shaka.
 
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Hebu jibu hoja za msingi haya mambo ya kipuuzi hayawasaidi watz!!. Inamaana Rais wetu tunayemrisha na kumvisha hajui hizi biashara?
 
Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Gerson Msigwa alisema pesa iliyotumika kuaandalia ile filamu haikuwa pesa ya watanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jibu hoja za msingi haya mambo ya kipuuzi hayawasaidi watz!!. Inamaana Rais wetu tunayemrisha na kumvisha hajui hizi biashara?
Jibu hoja, usikurupuke
 
Ahsante kwa taarifa... Tutashughulika na muuzaji...
 
Back
Top Bottom