Siku zote ukiona mwafrika ameambatana na mzungu kwenye jambo lolote hapo ni sawa na mbwa koko na anayemfuga.hii tumepigwa asubuhi tu bado vipande vitakavyotumika kutengenezea filamu nyingine na vitabu vitakavyoandikwa kutokana na move hiyo vyenye pande mbili positive na negative kweli watanganyika ni wadanganyika
Vipi na ya uzinduzi jeSerikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Aliko safari yake imegharamiwa na Peter Greenberg? kwenye hiyo tour usafiri, malazi, ulinzi ulikuwa unalipwa na Peter Greenberg?Alisema pesa ya serikali?
Tumsubiri wasemaji watoe tamko.Vipi na ya uzinduzi je
Mkuu, nyie Chadema si ndio mnataka uhuru wa maoni? Ila sikulaumu, umechelewa kuolewa, ndio sababuKwenye vitu vya msingi unaongea ujinga hivi. Wewe utakuwa umeharibiwa maumbile
Rais amesema wametumia billion 11 kuandaa filamu ambayo inalenga kuleta fedha nyingi ndani kuliko ingekutumika kujenga vituo vya afya na hela ingekaa.Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Huu ujinga utawaisha lini??. Hiyo mbunga ni Mali ya Samia?Kwanza waliipinga filamu yenyewe lakini sasa wanataka kujua mapato!
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Serikali haikutoa hata senti moja. Wamesema ni fedha za wadau wengine.
Muhimu tuambiwe hiyo pesa ilipotoka, ili kama ni mkopo tujue kama hayo mapato ya hiyo movie ndio yatatumika kulipa huo mkopo.Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo fi
Swali lake huwezi kujibu acha brabra za Lumumba.Lisu ni mjinga sana
Mashirika yaliyochanga ni ya marekani ? Ama ya kitanzaniaVipi na ya uzinduzi je
kuna watu mnadhani hii nchi ni mali yenu na wake zenu tuKwanza waliipinga filamu yenyewe lakini sasa wanataka kujua mapato!
Hebu jibu hoja za msingi haya mambo ya kipuuzi hayawasaidi watz!!. Inamaana Rais wetu tunayemrisha na kumvisha hajui hizi biashara?Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Gerson Msigwa alisema pesa iliyotumika kuaandalia ile filamu haikuwa pesa ya watanzania!Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Jibu hoja, usikurupukeHebu jibu hoja za msingi haya mambo ya kipuuzi hayawasaidi watz!!. Inamaana Rais wetu tunayemrisha na kumvisha hajui hizi biashara?
gharama ya kuandaa filamu sawa, vipi kuhusu lile jopo na msururu wa magari nani aligharamia boss?Gerson Msigwa alisema pesa iliyotumika kuaandalia ile filamu haikuwa pesa ya watanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Kuna hoja hapo?, Tunatimia Kodi zetu kuwatengenezea WAZUNGU biashara afu mijinga kama nyie mnakuja upuuzi.Jibu hoja, usikurupuke