Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwenye Royal Tour Serikali haijatoa hata senti moja. Program nzima iligharamiwa na kampuni za tours hapa nchini mwanzo mwisho kupitia Wizara ya Utalii. This is the fact, kama hamtaki mnaacha. Mwakani mtumeni CAG wenu aje na audit report ya Umoja Party kama hamtakuwa na imani na Kichere.Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Mvuja Kyuuundxx huyo.Kila kitu unageuza siasa, watu wanaongelea jambo serious wewe unaongea upupu.
Shubamit
huna akili.Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
huna akili.Lissu bwana kumbe anapita mpaka amazon
Tunashukuru kwa kutugutuaAmeandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Kum*******mayoChadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Kwani mliwekeza kiasi gani kwenye hiyo project?
Eli ya mjinga anaye jifunza kuliko wewe mjanja unae jikwezaChadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Ninazohuna akili.
Mkuu, unapoteza muda kuwaelewesha watu ambao uwezo wa kuelewa hayo unayoeleza, uko chini sana. Wako kichama zaidi.Aliko safari yake imegharamiwa na Peter Greenberg? kwenye hiyo tour usafiri, malazi, ulinzi ulikuwa unalipwa na Peter Greenberg?
Kwa akili kama hizi, kama taifa bado tuna changamoto kubwa sana.Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Yaani watu waje waandalie movie hotelini kwako, halafu wewe ubaki kusubiri wateja tu?Msigwa si alisema hii movie serikali haijatoa hata senti..waache waandaaji warudishe Chao...nyie subirini wataliii tu
Sidhani kuwa maswali yako yatapata jibu hapa JF, lakini pengine ni njia nzuri ya kuelimisha watu wasiojua haya mambo.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?