wellPesa zikishaingia serikalini huwa ni mali ya umma, mali ya serikali, haijarishi ni nani alizitoa.
Kikubwa sote tunakubaliana kuwa serikali ndio ilizikusanya kutoka kwa wadau mbali mbali (na sio muongozaji wa filamu alizitoa mfukoni mwake), tuna haki kujua pesa za mauzo ya filamu zitakwenda mfukoni kwa nani?
Hoja hujibiwa kwa hoja, na uwazi kwenye mikataba ya kipesa ni jambo la msingi sana.
Mkuu si ujibu swali la Lissu kuliko kuongea vitu visivyoelewekaMaswali ya WAPINZANI kila siku ni ya kipumbavu tu. Yaani watu wamejenga proposal, wameinadi na sponsorz wamekubali ku finance. Biashara tunatangaziwa sisi na watalii watatulipa sisi, bado unataka kujua fedha za film??
Ash kweli mupo JOBLESS na hamna agenda ndiyo maana mnajadili upumbavu tu
Bora wewe eliweka vizuri... Mara zote nasisitiza kuwa idea ya Royal Tour si ya kwetu wala si ya SSH. Peter Greenberg ni mastermind wa Royal Tour.Maswali ya WAPINZANI kila siku ni ya kipumbavu tu. Yaani watu wamejenga proposal, wameinadi na sponsorz wamekubali ku finance. Biashara tunatangaziwa sisi na watalii watatulipa sisi, bado unataka kujua fedha za film??
Ash kweli mupo JOBLESS na hamna agenda ndiyo maana mnajadili upumbavu tu
Kweli Ndugai alisema. Kuna kitu alinusa.Kipindi kile tulihoji sana ushiriki wa ghafla wa SSH kwenye Royal Tour. Ila tulibezwa sana...
Tulionekana kama tunazuia pasi au magoli ya SSH wakati anaupiga mwingi...
Sasa ngoja wazungu wawaoneshe jinsi ya kupiga... Tena vile michongo inapitia ofisi namba moja... Wala CAG hatoweza kukagua chochote hapo.
Unachosema ni kweli! Gharama za kufanya filming ndani ya hifadhi zetu ni kubwa sana.Kweli Ndugai alisema. Kuna kitu alinusa.
Msanii wa Bongo movie au Flava akigusa tu eneo la hifadhi anapigwa charge za kufa mtu bila kujali kazi yake itaitangaza Tanzania kitalii.
Sasa movie inauzwa kabisa tusiulize??
Lakini kwa hali ilivyo nchini sasa hivi, hata ajidai kuweka pamba masikioni hataweza kuzima kelele hizi.Kipindi kile tulihoji sana ushiriki wa ghafla wa SSH kwenye Royal Tour. Ila tulibezwa sana...
Tulionekana kama tunazuia pasi au magoli ya SSH wakati anaupiga mwingi...
Sasa ngoja wazungu wawaoneshe jinsi ya kupiga... Tena vile michongo inapitia ofisi namba moja... Wala CAG hatoweza kukagua chochote hapo.
Mbuzi wengine nishaona hawana kamba kabisa. Ni free range kienyeji kabisa!Lakini kwa hali ilivyo nchini sasa hivi, hata ajidai kuweka pamba masikioni hataweza kuzima kelele hizi.
Awe mwangalifu sana, asije akajikuta shafika kwenye kina kirefu asichoweza kujiokoa mwenyewe.
Hatuwezi kutoka kwenye mfumo ule wa Magufuli, hata kama ulikuwa ni wa kilaghai, na mara moja tuingie mfumo wa "kula kwa urefu wa kamba" wa Samia, halafu pasitokee lolote.
Tatizo mnachelewaga kujua mambo ya msingi!Royo tuA ni bomu ....View attachment 2194740
EEEeeenHeeee! Twafa!Mbuzi wengine nishaona hawana kamba kabisa. Ni free range kienyeji kabisa!
Bila kulazimisha upatikanaji wa KATIBA MPYA hakika tutaumia sana!EEEeeenHeeee! Twafa!
Ni dola 5.5 tu unaangalia movie ununue ya nini?Lissu bwana kumbe anapita mpaka amazon
lakini pia tunatakiwa kujikita kwenye lengo hasa la kutengeneza filamu hiyo, mimi nafikiri lilikuwa ni kuvutia watalii watembelee vivutio vyetu, na kama imependwa kiasi hicho basi tuwekeze kwenye sana kwenye eskta ya utalii maana naona dalili za kupata watalii wengi. hayo mauzo ya amazon nadhani halikuwa lengo mahususi la filamu hiyoHiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
lakini pia tunatakiwa kujikita kwenye lengo hasa la kutengeneza filamu hiyo, mimi nafikiri lilikuwa ni kuvutia watalii watembelee vivutio vyetu, na kama imependwa kiasi hicho basi tuwekeze kwenye sana kwenye eskta ya utalii maana naona dalili za kupata watalii wengi. hayo mauzo ya amazon nadhani halikuwa lengo mahususi la filamu hiyoKama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
Ndio walivyo hawa makamanda uchwara.Kwanza waliipinga filamu yenyewe lakini sasa wanataka kujua mapato!
tuliwekeza muda na mali. kumbuka hata muda rais anaenda maeneo ya tukio kuna shughuli zilisimamaKwani mliwekeza kiasi gani kwenye hiyo project?
God must be crazy sterling wa movie alipewa laki 3 tu.Kwani stelingi wa filamu hapati hata kifuta jasho??
Maana mimi navyojua ukiwa stelingi lazima upate japo kidogo ya maji ya kunywa.
Very poor !Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi