Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Pesa zikishaingia serikalini huwa ni mali ya umma, mali ya serikali, haijarishi ni nani alizitoa.
Kikubwa sote tunakubaliana kuwa serikali ndio ilizikusanya kutoka kwa wadau mbali mbali (na sio muongozaji wa filamu alizitoa mfukoni mwake), tuna haki kujua pesa za mauzo ya filamu zitakwenda mfukoni kwa nani?

Hoja hujibiwa kwa hoja, na uwazi kwenye mikataba ya kipesa ni jambo la msingi sana.
well
 
Maswali ya WAPINZANI kila siku ni ya kipumbavu tu. Yaani watu wamejenga proposal, wameinadi na sponsorz wamekubali ku finance. Biashara tunatangaziwa sisi na watalii watatulipa sisi, bado unataka kujua fedha za film??

Ash kweli mupo JOBLESS na hamna agenda ndiyo maana mnajadili upumbavu tu
Mkuu si ujibu swali la Lissu kuliko kuongea vitu visivyoeleweka
 
Maswali ya WAPINZANI kila siku ni ya kipumbavu tu. Yaani watu wamejenga proposal, wameinadi na sponsorz wamekubali ku finance. Biashara tunatangaziwa sisi na watalii watatulipa sisi, bado unataka kujua fedha za film??

Ash kweli mupo JOBLESS na hamna agenda ndiyo maana mnajadili upumbavu tu
Bora wewe eliweka vizuri... Mara zote nasisitiza kuwa idea ya Royal Tour si ya kwetu wala si ya SSH. Peter Greenberg ni mastermind wa Royal Tour.
Sisi tujilaumu wenyewe kujiingiza kichwa kichwa kwenye kitu ambacho hatukijua vizuri!
Nahisi hata pesa za mchakato wa ghafla wa kuwahamisha waMasai nazo zilitoka huko huko.
Next time tumakinike zaidi!!
 
Kipindi kile tulihoji sana ushiriki wa ghafla wa SSH kwenye Royal Tour. Ila tulibezwa sana...
Tulionekana kama tunazuia pasi au magoli ya SSH wakati anaupiga mwingi...
Sasa ngoja wazungu wawaoneshe jinsi ya kupiga... Tena vile michongo inapitia ofisi namba moja... Wala CAG hatoweza kukagua chochote hapo.
Kweli Ndugai alisema. Kuna kitu alinusa.

Msanii wa Bongo movie au Flava akigusa tu eneo la hifadhi anapigwa charge za kufa mtu bila kujali kazi yake itaitangaza Tanzania kitalii.

Sasa movie inauzwa kabisa tusiulize??
 
Unachosema ni kweli! Gharama za kufanya filming ndani ya hifadhi zetu ni kubwa sana.
Piga mahesabu walizunguka hifadhi ngapi? Siku ngapi na walikuwa na watu kiasi gani?
Bila shaka walijua wakipitia uchochoro wa SSH watapata park fee waivers na watafanya yote watakayo kwa gharama bwerere kabisa!

Tuliwaambia... hao wazungu ni wajanja wajanja sana... kudeal nao kunahitaji akili!

Ila tukubaliane... ukitaka kula na wewe kubali kuliwa!!
Tusonge mbele!
 
Kipindi kile tulihoji sana ushiriki wa ghafla wa SSH kwenye Royal Tour. Ila tulibezwa sana...
Tulionekana kama tunazuia pasi au magoli ya SSH wakati anaupiga mwingi...
Sasa ngoja wazungu wawaoneshe jinsi ya kupiga... Tena vile michongo inapitia ofisi namba moja... Wala CAG hatoweza kukagua chochote hapo.
Lakini kwa hali ilivyo nchini sasa hivi, hata ajidai kuweka pamba masikioni hataweza kuzima kelele hizi.

Awe mwangalifu sana, asije akajikuta shafika kwenye kina kirefu asichoweza kujiokoa mwenyewe.

Hatuwezi kutoka kwenye mfumo ule wa Magufuli, hata kama ulikuwa ni wa kilaghai, na mara moja tuingie mfumo wa "kula kwa urefu wa kamba" wa Samia, halafu pasitokee lolote.
 
Royo tuA ni bomu ....
IMG_20220420_170707.jpg
 
Lakini kwa hali ilivyo nchini sasa hivi, hata ajidai kuweka pamba masikioni hataweza kuzima kelele hizi.

Awe mwangalifu sana, asije akajikuta shafika kwenye kina kirefu asichoweza kujiokoa mwenyewe.

Hatuwezi kutoka kwenye mfumo ule wa Magufuli, hata kama ulikuwa ni wa kilaghai, na mara moja tuingie mfumo wa "kula kwa urefu wa kamba" wa Samia, halafu pasitokee lolote.
Mbuzi wengine nishaona hawana kamba kabisa. Ni free range kienyeji kabisa!
 
Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
lakini pia tunatakiwa kujikita kwenye lengo hasa la kutengeneza filamu hiyo, mimi nafikiri lilikuwa ni kuvutia watalii watembelee vivutio vyetu, na kama imependwa kiasi hicho basi tuwekeze kwenye sana kwenye eskta ya utalii maana naona dalili za kupata watalii wengi. hayo mauzo ya amazon nadhani halikuwa lengo mahususi la filamu hiyo
 
Kama tunapata % tu nitamdharau sana bibi Hangaya, nikiangalia ule msafara na posho walizokuwa wakilipana watu kwa siku wakati hiyo filamu ikirekodiwa, kwamba serikali ndio imegharamia halafu sisi tusipate chochote narudia tena nitamdharau sana huyu Bibi.
lakini pia tunatakiwa kujikita kwenye lengo hasa la kutengeneza filamu hiyo, mimi nafikiri lilikuwa ni kuvutia watalii watembelee vivutio vyetu, na kama imependwa kiasi hicho basi tuwekeze kwenye sana kwenye eskta ya utalii maana naona dalili za kupata watalii wengi. hayo mauzo ya amazon nadhani halikuwa lengo mahususi la filamu hiyo
 
Haya ndiyo matokeo ya juhudi zetu za kuwapata ma-'consultant' kama akina Tony Blair! Na bado.
 
Samia ni sikio LA kufa , hakuna Cha next time tuwe makini , jibu ni elimu ndogo haijaweza kushinda elimu kubwa, Rais mzima ana shiliki kucheza movie for other country company benefits, focus ya beberu haikuwa kutangaza utalii ilikuwa ni kuuza movie, online streeming, soon tutaiona Netflix, Rais wa nchi unajirahisha kishamba hivi, Tundu lissu Yuko sahihi, tuko na JIBA president, Mimi nilijua hii kitu na nikaa mbali kwanza nione game inavyo chezwa, in a serious note, nchi Ina ombwe la uongozi, week nzima Rais Yuko USA anacheza movie.
 
Kwani stelingi wa filamu hapati hata kifuta jasho??

Maana mimi navyojua ukiwa stelingi lazima upate japo kidogo ya maji ya kunywa.
God must be crazy sterling wa movie alipewa laki 3 tu.
Baada ya kuisha
Hiyo movie mpk leo naangalia kutoa stress.
Bei ni hiyo tutalipwa labda laki 7 na zaidi kidogo. anayoongelea huyo poyoyo ukikodi,
Kuna movie kibao kuziona popote rent ulipe uone,
nunua ukodishie watu utengeneze pesa.
Kuna movie inaitwa HATARI.
Imechezwa hapo Arusha mbugani.
Bila dola 39+ huioni.
Hela analipwa nani?
Williamson Gold Mine kule mwanza imechezwa hela nani analipwa?
Nenda Youtube tu na Netflix zipo hizo Movie ila hazifunguki mpk ukodi kwa hizo hela.
Sasa huyu msomi wenu badala ya kujikita kwenye hii migharama ya kuongozana na kundi kuubwa la watu huko ye anaongea habari za kukodi movie.
Hilo jopo la Royal Tour limenikumbusha
Comin to America
king of Zamunda Eddie Murphy (Hangaya)
Hata hiyo kuiona lipa.
Tuongee na supu zetu
Nyama tushaambiwa ziko chini.
 
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Very poor !
 
Back
Top Bottom