Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Multiplayer = MultiplierMultiplayer effect without knowing the end results is blindness business.
Lisu sasa anatakiwa kupuuzwa tumeambiwa mama kajitoa ilituonekane ndiolengo lake faida kubwa kwetu niutalii sasa Huyu lisu nilikuwa namueshimu kweli alitaka tuendelee kujichimbia chumbani tutapaje pesa?kanuni ya kupata jitoe uwekeze ndipo uingize pesa mada zingine zitafanya aonekane zuzu mama piga kazi sapoti ipokubwaTumeshapigwa
Nyie wahuni wa chadema hampendi uhuru wa maoni? Sasa mnataka katiba mpya ya nini? Jinga kabisaKwa akili hii nchi hii kamwe haiwezi kuendelea.
Bora wafu kuliko mpumbavu wa namna hii kuishi.
Kweli kabisa mkuu, kuendesha chama kifamilia ni shidaKwa akili kama hizi, kama taifa bado tuna changamoto kubwa sana.
Mbona Hangaya alisema aliamua kushiriki hili, kwa hiyo pesa yao sisi tukaomba iwe ya kwetu?.ndio maana hadi leo tarehe 20/04/2022 sijaona zaidi ya vipande pande vya dk zisizozidi 5..Hiyo filamu kama filamu nyingine. Jamaa walilipa Kila kitu Kwa serikali wakati wanatengeneza hiyo filamu hat Ile misafara na per diem za wafanyakazi zote zililipwa na mtenegeneza filamu. Hivo Nina uhakika atakua ana Haki zote za filamu au Kun %kadhaa serikali itapata
Lisu ni mjinga sana
Tumeshapigwa
Inahusiana vipi na mada?Lissu mzee wa MIGA
Sababu wanalipa kodi
Katiba Mpya itamsaidia Lissu na familia yake?Kwa mara ya kwanza Tundu Lisu kauliza swali la Kizalendo haswa.
safi sana.
Kwa mara ya kwanza Tundu Lisu kauliza swali la Kizalendo haswa.
safi sana.
Jambo serious ndio jambo gani hilo.Kila kitu unageuza siasa, watu wanaongelea jambo serious wewe unaongea upupu.
Shubamit
Bro tulia tujadili kwanza hili Mbona unatutoa relini?,Hayo ya Chadema Achana nayo watajijua wenyewe,sisi tujadili hii ishu inayogusa Watanzania wote, maana ni keki ya Taifa.Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Hilo jamaa jingasana hilo.Kila kitu unageuza siasa, watu wanaongelea jambo serious wewe unaongea upupu.
Shubamit
Hata Chadema ni chama Cha wananchi, wamesajikiwa, wanavuta ruzuku sometimes, na Sasa wanatuchangusha, hivyo kwa kuwa wanajitambulisha kupitia umma, wanakaguliwa na CAG, wao pia lazima tuwajadiliBro tulia tujadili kwanza hili Mbona unatutoa relini?,Hayo ya Chadema Achana nayo watajijua wenyewe,sisi tujadili hii ishu inayogusa Watanzania wote, maana ni keki ya Taifa.
Lisu haulizii gharama .... anauliza sisi kama nchi tutapata nini kwenye mauzo ya hiyo filamu ... tumetoa actor, scenes, location etc .... hebu jibuni swali
Lissu ana maswali ya kijinga. Ukiwa jobless ughaibuni na akili inafubaa. Arudi nchini tu aje tumpe shughuli za kufanya. Otherwise amekuwa IRRELEVANTMkuu si ujibu swali la Lissu kuliko kuongea vitu visivyoeleweka