MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Lissu mzee wa MIGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo rais wetu walimkodi.Mmeambiwa haijatumika hata senti ya serikali means hamna chenu subirini watalii.
Lissu ana hoja usimbeze! Kama CD inakodishwa Kwa elfu kumi na tatu na kuuzwa Kwa elfu thelathini na saba huoni tofauti ya elfu ishini na nne? Hiyo pesa anayeichukua ni nani kati ya mkodishaji na mweñye filamu yake? Serikali au wizara husika wajibu juu ya pesa hizi ili zijulikane zinakokwenda!Lisu mtata sana.
Chadema wameishiwa hoja!
Kwenye vitu vya msingi unaongea ujinga hivi. Wewe utakuwa umeharibiwa maumbileChadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Tundu Lissu na WAPINZANI wa Rais Samia wamekuwa kama pakashume. Paka shume akikosa chakula anakwenda kila jalala anapekua kutafuta chakula.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Ona huyu masikini.....unafikiri watalii walikuwa hawaijui Tanzania? Wao wataendelea kuja ila royo tua ni deal LA wachache....wewe ni masikini hutakaa ueleweThat's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Serikali ndio ilizikusanya hizo pesa kutoka kwa wadau wengine ili kuzitumia kwa maslahi ya umma wa watanzania Na ndio kazi ya serikali ya siku zote. Muongozaji wa hiyo movie hakutoa hata senti tano.Serikali haikutoa hata senti moja. Wamesema ni fedha za wadau wengine.
Multiplier effect without knowing the end results is blindness business.That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Serikali ndio ilizikusanya hizo pesa kutoka kwa wadau wengine ili kuzitumia kwa maslahi ya umma wa watanzania Na ndio kazi ya serikali ya siku zote. Muongozaji wa hiyo movie hakutoa hata senti tano.
Sasa swali linakuja, pesa za mauzo ya hiyo filamu atalipwa nani?
Watalipwa waandaji?
Italipwa serikali ya Tanzania?
Watalipwa wadau waliochangia?
Inategemea hayo makundi uliyoyataja yalikubalianajeSerikali ndio ilizikusanya hizo pesa kutoka kwa wadau wengine ili kuzitumia kwa maslahi ya umma wa watanzania Na ndio kazi ya serikali ya siku zote. Muongozaji wa hiyo movie hakutoa hata senti tano.
Sasa swali linakuja, pesa za mauzo ya hiyo filamu atalipwa nani?
Watalipwa waandaji?
Italipwa serikali ya Tanzania?
Watalipwa wadau waliochangia?
Duuuh! watu hawajui kua kichwa chako ni chakubebea meno tu.Wewe bila shaka unajua watanzania tulishaacha kulipa hata kodi,na Rais ametoa pesa zake akishirikiana na CCM kuitengeneza hiyo filamu.Unajua Rais ni tajiri sana,hivyo CHADEMA na wale wasiokua na vyama hawajachangia chochote kwenye pesa zilizotumika kutengeneza filamu.Pole sana.That's pety buss
Muhimu kwetu ni multiplier effect yake kwa sector utalii, na uchumi wetu kwa ujumla
Tuliwekeza muda wa rais wetu na risk ya rais kutembea mbugani.Kwani mliwekeza kiasi gani kwenye hiyo project?
Pesa zikishaingia serikalini huwa ni mali ya umma, mali ya serikali, haijarishi ni nani alizitoa.Tundu Lissu na WAPINZANI wa Rais Samia wamekuwa kama pakashume. Paka shume akikosa chakula anakwenda kila jalala anapekua kutafuta chakula.
Samia aliposema anacheza film ya kutangaza utalii mlibeza sana. Kisha mkasema anatumia vibaya fedha za Nchi. Serikali iliwajibu kuwa anayegharamia ni wafadhili mbalimbali.
Hatimaye mzigo umeteremka uko intact na unasoma vibaya huko majuu. Choyo kimewashika, Lissu anauliza haki ni za nani?
Hata kama haki by 100 za wanaonunua hiyo film kama akina Netflix au Histoy Channel au National Geographic, as long as itatuletea watalii, sisi kwetu hiyo ndiyo DIVIDEND yetu, Period!!
Hizo fedha za kuuza film ni peanut
Sababu wanalipa kodiKwanza waliipinga filamu yenyewe lakini sasa wanataka kujua mapato!
Ulisema kitndo cha marehemu JPM kuzuia makinikia Taifa litashitakiwa na kufilisiwa. Huo mpango wa kulifilisi Taifa letu bado upo?Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu? https://t.co/NAal61q4EQ
View attachment 2194439
Alisema pesa ya serikali?Rais Samia: Royal Tour, tulitumia kama bilioni 7 gharama za kila kitu
Serikali ilishatoa tamko kupitia kwa msemaji mkuu wa serikali kwamba hakuna fedha ya serikali iliyotumika kutayarisha hiyo filamu.Sababu wanalipa kodi