Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
600
Reaction score
1,769
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

  • Freeman Mbowe
  • Boniface Jacob
  • Lembrus Mchome
  • Yericko Nyerere
  • Ntobi wa Ntobi
  • James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe

Kuna mwana ccm mmoja rafiki yangu alishawahi kuniambia chademe tumeshamaliza kazi. hii ni baada tu ya uchaguzi. kuna mtu aliniambia mbowe hata kampeni hajapiga alipigiwa kampeni na TISS
NAKUBALIANA NA WEWE
 
Kuna mtu wa “Mfumo”

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Hii JF sio SEHEMU salama ndg unaweza ukajikuta upo Kwa matatizo ya kujitakia be careful not to that extend.
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Kwam Ntobi bado Mwanachama?.
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
we ni mwehu, hujui kitu nyani wewe, unamfukuza mtu kwa hisia nan kasema
 
Huu ni uwongo mkuu,
 
huyo mmeza viwembe sio tu ni kama chizi bali ni chizi kamili gentleman ulikua unapiga nae stori jambo ambalo lilikua ni hatari zaidi 🐒
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Kumbe nimesoma habari za mwehu? Nimesikitika
 
Back
Top Bottom