Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

Naunga mkono hoja. Tundu lisu fukuza kabisa wale wote unaoona hawafuati matakwa yako. Piga chini wote ili ukiunde upya chama. Usipowapiga chini watakuona wewe ni mwenyekiti nyoronyoro na kuendelea kukuletea mizengwe.
 
Kuna mwana ccm mmoja rafiki yangu alishawahi kuniambia chademe tumeshamaliza kazi. hii ni baada tu ya uchaguzi. kuna mtu aliniambia mbowe hata kampeni hajapiga alipigiwa kampeni na TISS
NAKUBALIANA NA WEWE
Hata humu zilifika
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Mbona hujamweka Boniface Malisa?
 
Siamini kuwa Mbowe pamoja na yote yaliyotokea kipindi kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti anaweza kufanya jambo lolote kutaka Chadema ife, imput ya Mbowe ndani ya Chadema ni kubwa na ame suffer sana kwa ajili ya Chadema hawezi kutumika kuiua Chadema kwa nanmna yoyote.
 
  • Freeman Mbowe
  • Boniface Jacob
  • Lembrus Mchome
  • Yericko Nyerere
  • Ntobi wa Ntobi
  • James Mbowe

Operations kama hizo huwa ni top secret ndani ya mfumo na siyo kila mwanamfumo anapewa nafasi ya kushiriki katika jambo hilo, usiamini kila unachoambiwa na hao wanaojiita watu wa mfumo.
 
una jamba jamba tu na kupost pumba chadema chini ya mbowe imewahi kuchukua majimbo 7 kati ya 9 kilimanjaro
na majimbo 5 kati ya 7 arusha .
Kwa namna chaguzi za sasa zinavhoendeshwa, ni ngumu sana kwa mpinzani kushinda.
Maagizo hutolewa kwa wasimamizi wa chaguzi, ukitaka kunielewa ongea vizuri na walimu amba husimamia chaguzi, watakupa mbinu zote zinazotumika kwa msaada wa dola.
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

  • Freeman Mbowe
  • Boniface Jacob
  • Lembrus Mchome
  • Yericko Nyerere
  • Ntobi wa Ntobi
  • James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Duuh, hata hujui kuwa Freeman Mbowe na Tundu Lissu mwenyekiti successor wake hukutana kila siku na kujadiliana namna ya kukipeleka chama kwenye highest level..

Na hama haya kweli yapo, wala hayawezi kuwa mageni na mapya. Ilikuwa hivyo wakati wa John Pombe Magufuli na kabla wakati Kikwete back hadi wakati wa Ben Mkapa...

Nyakati zote hizo CHADEMA has never fallen apart, it has always stood strong and aggressive...

This time is even more than that...

Unajichosha tu kutumia majina ya watu kutengeneza uchonganishi. That will never happen...
 
Siamini kuwa Mbowe pamoja na yote yaliyotokea kipindi kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti anaweza kufanya jambo lolote kutaka Chadema ife, imput ya Mbowe ndani ya Chadema ni kubwa na ame suffer sana kwa ajili ya Chadema hawezi kutumika kuiua Chadema kwa nanmna yoyote.
Usipende kuamini kila mtu, wengine hujali matumbo zaidi
 
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife

Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa

Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;

  • Freeman Mbowe
  • Boniface Jacob
  • Lembrus Mchome
  • Yericko Nyerere
  • Ntobi wa Ntobi
  • James Mbowe

Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye

Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro

Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
SIO ILIKUWA POSTED SIKU YA WAJINGA
 
TAKATAKA
 
Acha uchonganishi.
.chadema haitaacha kusonga mbele sababu ya watu watano.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Mbowe wa hovyo kabisa, heshima Kwa Mbowe Haina maana Tena? Hata kama uliumizwa hawezi kusamehe? Haiwezekani Wenzake wamemsapoti Kwa Miaka na Mikaka kama mwenyekiti. Yeye hataki kuwaunga mkono Wenzake hata kidogo. Kazi nikuombea CHADEMA ife! Mbowe anataka kutawala yeye tu wengine wakipewa nafasi hataki kutoa ushirikiano. Kama wapinzani Tanzania ndiyo kina Mbowe basi hatuna upinzani Tanzania. Hizi ndiyo type za akina Lipumba, Cheyo, Mrema, Mtikila, nk Wanataka kufia madarakani.
Lisu tunakuunga mkono, tuko pamoja songa mbele.
 
Back
Top Bottom