Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
Kuna mwana ccm mmoja rafiki yangu alishawahi kuniambia chademe tumeshamaliza kazi. hii ni baada tu ya uchaguzi. kuna mtu aliniambia mbowe hata kampeni hajapiga alipigiwa kampeni na TISSKuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife
Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa
Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;
Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe
Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye
Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Pwah pwah pwah mjumbe kutoka songwe anajibu hoja lakini nafsi inamsuta....Majukumu ya Mwenyekiti wa Chadema siyo kufukuza Wanachama
Hii JF sio SEHEMU salama ndg unaweza ukajikuta upo Kwa matatizo ya kujitakia be careful not to that extend.Kuna mtu wa “Mfumo”
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Kwam Ntobi bado Mwanachama?.Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife
Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa
Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;
Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe
Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye
Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
CHADEMA haichonganishiki kirahisi hivyoMajukumu ya Mwenyekiti wa Chadema siyo kufukuza Wanachama
Mna propaganda duni sanaPwah pwah pwah mjumbe kutoka songwe anajibu hoja lakini nafsi inamsuta....
Tatizo hamtaki pili pili mmezoea sukari guru...vumulieni mtajifungua tu!Mna propaganda duni sana
we ni mwehu, hujui kitu nyani wewe, unamfukuza mtu kwa hisia nan kasemaKuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife
Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa
Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;
Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe
Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye
Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Huu ni uwongo mkuu,Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife
Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa
Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;
Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe
Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye
Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
huyo mmeza viwembe sio tu ni kama chizi bali ni chizi kamili gentleman ulikua unapiga nae stori jambo ambalo lilikua ni hatari zaidi 🐒Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife
Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa iliyo toka sio kidogo ni pesa nyingi sanaaaa
Bwana yule ambaye ni kama CHIZI kanambia kuna watu ili CHADEMA iweze kwenda mbele ni lazima hawa wafuatao wang’ooke;
Freeman Mbowe
Boniface Jacob,
Lembrus Mchome,
Yericko Nyerere,
Ntobi wa Ntobi,
James Mbowe
Hawa wanapokea maagizo kutoka kwa Mkuu wao Freeman Mbowe,ambaye yeye anaplay low-key na hataki ajulikane kabisa ila master wa huu mchezo ni yeye
Lazima hawa wafukuzwe chama otherwise CHADEMA haitokwisha migogoro
Jamaa alipo maliza kunihadithia hii story akameza viwembe akafa papo hapo kwa sababu alinipa Siri nzito sana😂😂
Kumbe nimesoma habari za mwehu? NimesikitikaKuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife