Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT lakini ndiyo mtu pekee " makini" katika orodha ya CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
 
Likewise na huyu wa CCM hakufaa na wala hafai kuwa rais, ni hiyo bora sote tukose ndiyo iliyomuinua! By any stretch of imagiation hakufaa na hafai kuwa Rais! Kama amemaliza miaka 5, basi yeyote hata Kingwendu anaweza kuwa Rais tanzania!
 
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!

Inaonekana sasa hivi kipimo cha mtu kuwa mzalendo ni lazima Magufuli aidhinishe hilo, au yoyote yule anayekubaliana na kila mtazamo wa Magufuli huyo ndio mzalendo!

Yoyote yule asiyekubaliana na mitazamo, au asiyelewana na Magufuli huyo sio mzalendo. Inaonekana wanaccm Magufuli ndio mmemfanya SI Unit ya uzalendo.

Matokeo yake kwa sasa hivi ni ngumu kutenganisha uzalendo na ujinga.
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Inaonekana sasa hivi kipimo cha mtu kuwa mzalendo ni lazima Magufuli aidhinishe hilo, au yoyote yule anayekubaliana na kila mtazamo wa Magufuli huyo ndio mzalendo! Yoyote yule asiyekubaliana na mitazamo, au asiyelewana na Magufuli huyo sio mzalendo. Inaonekana wanaccm Magufuli ndio mmemfanya SI Unit ya uzalendo. Matokeo yake kwa sasa hivi ni ngumu kutenganisha uzalendo na ujinga.
Lisu anafaa kuwa KUB!
 
Bwashee Hutu ni the Greatest na mtaweweseka kwl,muda utaongea chuma kitatua
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
 
Dikteta anayedharau katiba, Bunge, mahakama, Watanzania na kukwapua 2.7 trillions hazina kisha kugoma uchunguzi huru kufanyika ndiyo mzalendo!!!
ZERO BRAIN.

Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hujui kwamba Form iliandaliwa moja na anatembea nayo kitambo jamaa akiogopa kuiacha wakaitoa hata photocopy😁😁😁😁
Kwa taarifa yako fomu ya kugombea urais wa JMT na Zanzibar ni moja.... So unachukulia popote.

Magufuli anakubalika Pwani na Bara ndio maana fomu zimemwagwa tofauti na Chadema fomu anatembea nazo Mnyika kwenye koti!
 
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Yohane Mbatizaji, hujamtendea haki Tundu Lissu kwa kusema tuu hafai bila kusema hafai kivipi?.

Unaposhindanisha wagombea, unashindanisha sifa, kwa maoni yangu kumhusu Tundu Lissu akisimama na Magufuli, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo Tundu Lissu anauwezo zaidi ya rais Magufuli hivyo anaweza kum knock out or kum knock down rais Magufuli, yaani kwenye hayo maeneo, rais Magufuli hafui dafu kwa Lissu.

Ili kujua ni maeneo gani, karibu pande hizi
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
 
Back
Top Bottom