Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
Sometimes mie huwa ninajilaumu kwenda shule maana najikuta nasoma na kufikiria vitu ambayo havina maana.Hivi Kama magufuli mzee,Mwalimu wa secondary mstaafu na mtu anayeonea aibu picha zake mwenyewe Kama anaweza akaiongiza Tanzania,akasifiwa na kuabudiwa kwa viwango hivi tunavyoona,ni mtanzania gani tena anaweza kushindwa kuwaongoza hawa wadanganyika?Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!