RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 962
- 1,930
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka watembee barabani wanalia ndiyo ujue wanamaanisha!?
Jiwe mwenyewe alisema hadharani alikuwa ana beep tu, akang'ang'anizwa, mpaka leo tuko naye, mpaka mnamwita yesu!
So punguza pressure TL yuaja kumkabili Malaika Jiwe!