Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT lakini ndiyo mtu pekee " makini" katika orodha ya CHADEMA

Hujielewi kabisa

Kwani aliepo madarakan ndo anafaa? Au aliwahi kufaa Lini?

CCM wangeruhusu wanachama wakubali kuchukua form uone
Hivi si waweke tu kama bosheni?
Atokee wa kumdanganya tu kuwa kuna watu flani watachukua kama bosheni laki wewe mfalme tutakupa kura zote.
Kama hatashindwa kimasihara?
 
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu alianza kuwapigania watanzania tangu ujana wake kabla wewe hujajua hata kuandika.

Hakusubiri apate uongozi ndiyo awapiganie watanzania wewe leo uhoji uzalendo wa Lissu.

Ukiwaweka katika mizania kati ya Lissu na Magufuli Lissu ni mzalendo kuliko Magufuli na Magufuli hata uzalendo wake ni wa kutilia mashaka kuliko hata Mzee Kikwete.
 
Ndo maana unajiita the baptist lazima uje ubatizwe kwa moto wewe nyau mkubwa wee
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.

Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.

Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa taarifa yako fomu ya kugombea urais wa JMT na Zanzibar ni moja.... So unachukulia popote.

Magufuli anakubalika Pwani na Bara ndio maana fomu zimemwagwa tofauti na Chadema fomu anatembea nazo Mnyika kwenye koti!
[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Uchoyo = Uchoyometer

Uzalendo = Uzalendometer
 
[emoji23][emoji1787][emoji2960]
FB_IMG_15917747988552743.jpg
 
Hivi si waweke tu kama bosheni?
Atokee wa kumdanganya tu kuwa kuna watu flani watachukua kama bosheni laki wewe mfalme tutakupa kura zote.
Kama hatashindwa kimasihara?
[emoji23][emoji23] anajua hako ka mchezo katamuingiza mkenge kimasihara ndo maana hajaruhusu
Fomu ilitengenezwa ofisini kwake na muda wote alikua nayo
 
Amepungukiwa uzarendo gani? Mbona hili neno 'mzarendo' silielewi mwenzenu
 
Hivi si waweke tu kama bosheni?
Atokee wa kumdanganya tu kuwa kuna watu flani watachukua kama bosheni laki wewe mfalme tutakupa kura zote.
Kama hatashindwa kimasihara?
Kwa akili ya jiwe akishindwa kimasihara atafukuza watu chamani make atakua Ni chair bado.
 
Tundu Lissu alianza kuwapigania watanzania tangu ujana wake kabla wewe hujajua hata kuandika.

Hakusubiri apate uongozi ndiyo awapiganie watanzania wewe leo uhoji uzalendo wa Lissu.

Ukiwaweka katika mizania kati ya Lissu na Magufuli Lissu ni mzalendo kuliko Magufuli na Magufuli hata uzalendo wake ni wa kutilia mashaka kuliko hata Mzee Kikwete.
Lisu arejee chama chake Nccr mageuzi akawe KUB!
 
Mkuu Yohane Mbatizaji, hujamtendea haki Tundu Lissu kwa kusema tuu hafai bila kusema hafai kivipi?.

Unaposhindanisha wagombea, unashindanisha sifa, kwa maoni yangu kumhusu Tundu Lissu akisimama na Magufuli, kiukweli kabisa kwenye baadhi ya maeneo Tundu Lissu anauwezo zaidi ya rais Magufuli hivyo anaweza kum knock out or kum knock down rais Magufuli, yaani kwenye hayo maeneo, rais Magufuli hafui dafu kwa Lissu.

Ili kujua ni maeneo gani, karibu pande hizi
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
Hakika
 
[emoji23][emoji23] anajua hako ka mchezo katamuingiza mkenge kimasihara ndo maana hajaruhusu
Fomu ilitengenezwa ofisini kwake na muda wote alikua nayo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom