johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Fomu atachukulia Ufipa?Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
Lisu anafaa kuwa KUB!Inaonekana sasa hivi kipimo cha mtu kuwa mzalendo ni lazima Magufuli aidhinishe hilo, au yoyote yule anayekubaliana na kila mtazamo wa Magufuli huyo ndio mzalendo! Yoyote yule asiyekubaliana na mitazamo, au asiyelewana na Magufuli huyo sio mzalendo. Inaonekana wanaccm Magufuli ndio mmemfanya SI Unit ya uzalendo. Matokeo yake kwa sasa hivi ni ngumu kutenganisha uzalendo na ujinga.
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani nani kakataliwa kupewa fomu huko CCM?Hujielewi kabisa
Kwani aliepo madarakan ndo anafaa? Au aliwahi kufaa Lini?
CCM wangeruhusu wanachama wakubali kuchukua form uone
Hujui kwamba Form iliandaliwa moja na anatembea nayo kitambo jamaa akiogopa kuiacha wakaitoa hata photocopy😁😁😁😁Kwani nani kakataliwa kupewa fomu huko CCM?
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee yule Tundu hawezi kuja maana Kisutu anasubiriwa kwa hamu!Bwashee Hutu ni the Greatest na mtaweweseka kwl,muda utaongea chuma kitatua
Kwa taarifa yako fomu ya kugombea urais wa JMT na Zanzibar ni moja.... So unachukulia popote.Hujui kwamba Form iliandaliwa moja na anatembea nayo kitambo jamaa akiogopa kuiacha wakaitoa hata photocopy😁😁😁😁
Mkuu Yohane Mbatizaji, hujamtendea haki Tundu Lissu kwa kusema tuu hafai bila kusema hafai kivipi?.Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini mkuu?!Mkuu Yohane Mbatizaji, hujamtendea haki Tundu Lissu