RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 962
- 1,930
Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Sifa zipi amepungukiwa
Hana uzalendo,anaongozwa na mihemko,ni mlopokaji na msaliti wa taifa lakeAmepungukiwa sifa Gani mkuu? TAJA MOJA
Mboma fomu kachukua yesu tuMembe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
ziko wapi izo fomu mkuu?Kwa taarifa yako fomu ya kugombea urais wa JMT na Zanzibar ni moja.... So unachukulia popote.
Magufuli anakubalika Pwani na Bara ndio maana fomu zimemwagwa tofauti na Chadema fomu anatembea nazo Mnyika kwenye koti!
Sasa kwa mfano Msigwa...... Juzi tu katoka kusamehewa na Katibu mkuu mstaafu wa CCM kwa uzushi leo anautaka urais..... Jamani utani huu!Ulitaka watembee barabani wanalia ndiyo ujue wanamaanisha!?
Jiwe mwenyewe alisema hadharani alikuwa ana beep tu, akang'ang'anizwa, mpaka leo tuko naye, mpaka mnamwita yesu!
So punguza pressure TL yuaja kumkabili Malaika Jiwe!
Mbona ulimkosa kipindi kile nenda kamsubiri airport akirudi tu piga shabaHana uzalendo,anaongozwa na mihemko,ni mlopokaji na msaliti wa taifa lake
Nilipokuwa jeshini nilifundishwa kuwa dawa ya msaliti ni kifo,tena anapigwa shaba mbele yakadamnasi,huyu lissu anastahili kifo popote pale alipo
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nenda Dodoma au Kisiwandui utapewa!ziko wapi izo fomu mkuu?
Mkuu huyu hawezi kurudiMbona ulimkosa kipindi kile nenda kamsubiri airport akirudi tu piga shaba
msubirie tu umuuwe hawezi kushinda urais wala kushindana na yesu mbona yesu ni muoga sana si ana uhakika ata mshinda mbona anaogopa?
Fomu ipo moja tu kijana na ameshaichukua yesuNenda Dodoma au Kisiwandui utapewa!
Hivi baada ya Magufuli kuwa Rais kuna mtanzania gani mwingine atashindwa ?Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kwa mfano Msigwa...... Juzi tu katoka kusamehewa na Katibu mkuu mstaafu wa CCM kwa uzushi leo anautaka urais..... Jamani utani huu!
Wewe ndo unayetoa tadhimini ya wagombea?Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee yule Tundu hawezi kuja maana Kisutu anasubiriwa kwa hamu!
Ukiacha ushabiki wa vyama, tl anafaa kuwa rais wa jmt. Unachosema kupungukiwa uzalendo bila shaka unashutumu vile vikao vyake na watz wanaoishi nje ya nchi. Kama hiyo ndiyo point yako basi wewe umejawa na ushabiki zaidi kuliko kuangalia ukweli.Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.
Hebu angalia kwa mfano wagombea wsle 8 wa CCM Zanzibar waliochukua fomu wote wanaonekana kumaanisha kuutaka urais wa nchi hiyo.
Kwa upande wa CHADEMA mtu pekee anayeutaka urais japokuwa amepungukiwa sifa na uzalendo ni Tundu Antipas Lissu hao wengine 10 waliobaki wanataka kuweka historia ya kujaribu kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Ccm form ili print-wa moja tu ambayo tayari ilisha chukuliwa na mwenye kiti...Hujielewi kabisa
Kwani aliepo madarakan ndo anafaa? Au aliwahi kufaa Lini?
CCM wangeruhusu wanachama wakubali kuchukua form uone
Mbona Lumumba waliweka "boya" na likatoboa...acha siasa za maji taka...Ukweli ni lazima usemwe kwamba ama Chadema haina watu makini wa kugombea urais au wanasubiri kumuunga mkono mgombea wa ACT Wazalendo.