So ccm ndo hamtaki kukubali mmefeli na mnafelishwa world wide na magufuli......Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
Adabu wanashika mawaziri na usingizi anakosa jpm wananchi njaa ndo ziwafungua ubongoKama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
Kama tanzania mfano mkapa kuita watu malofa wapumbavu kenya kibaki aliita watu mavi ya kuku magufuli ndo kabisa ntajaza page bashite alitukana hadharani obama alitukanwa sana trump ndo kabisa so plz dont speak like a fool leader we all know aboutDuniani kote Hamna democrasia ya kutukana watu
Ni vema watu wakawa wanakumbuka tunayoandika humu jf , huwa hatukurupuki .Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu .kuna mtu alikuwa anaongea na kusumbua serikali kama Dr. ulimboka???
Hajawahi kumung'unya maneno .Njia pekee ya kumnyamazisha Alisha waambia.
Mungu mbariki Tundu Lissu .Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Nadhani mmeanza kuelewa sasaNaomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Mkuu Post yako tata sana! Kumbe ni dola imemlaza NBO?Kama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
Akirudi tu hata nikipewa 200 ya maji namtunguaLissu rudi nyumbani haraka
kabla hujamtungua kitu kigumu kitakuwa kinapekenyua makalioni kwakoAkirudi tu hata nikipewa 200 ya maji namtungua
Hata wale waliolipwa mwanzo waliapa kama wewe , tetesi zinadokeza kwamba wawili wamekwishakufa , bado watatuAkirudi tu hata nikipewa 200 ya maji namtungua