Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Kuna mtu Aliwahi kusema baadhi ya watu Ni malofa,je Hilo sio tusi?
FB_IMG_1595588226206.jpg
 
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.

Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.

Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.

Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Atanyamazishwa!
 
Jf inapaswa kutoa tuzo kwa baadhi ya waandishi watabiri , wanaoandika mada zenye maono ya mbele sana kama mwandishi wa makala hii .
 
huwezi kuniambia kuwa lissu ni mwanasiasa makini nikakukubalia hata kidogo huyu c mwana siasa bali ni mwanaharakati na mpiga kelele tu mwanasiasa makini cku zote. ujenga hoja zenye mashiko si kuongea kauli zenye kuvunja amani au kufanya ushawishi wowote wenye kuatalisha amani vitendo afanyavyo lissu ni vitendo vya kiharakati si kisiasa Na ni mtu ambae anataka kucheza na akili za watu kwa propaganda dhaifu na kupata attention ya vyombo vya habari lakini linapo kuja swala. la hoja zenye mashiko lissu ni mweupe huwezi hata kumlinganish@ na mnyika, zitto,
Kwa nanma ulivoandika hapa ni dhahiri kwako wanasiasa makini ni akina Musukuma na Kibabaji. Huna lolote.
 
Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.

Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.

Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.

Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Nashauri asipelekwe magerezani,atatuharibia wafungwa,pia atapata agenda Mpya ya kuzunguka nayo.Atatuumbua zaidi.
 
How! Ukweli huwa hamuutaki lakini ipo siku utawanyoosha tu.
Wewe ni mtu mdogo sana ! sisi tunapambana miaka na miaka na tumewashinda viongozi wako , angalia tarehe ya uzi huu halafu kumbuka ukikokuwa wakati huo
 
Wewe unapambana au unatumiwa kama toilet paper? Wakuangalia tarehe ni wewe umejinga lini 2012 na mimi Je? Huna lolote wewe, unachojua ni uwongo ambao hauna mbele wala nyuma. Without people like me you wouldn't have been here with that privilege, na pumba zako pamoja na propaganda. Find another loser like yourself.
 
Back
Top Bottom