Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

Hiyo haijawahi kujulikana nani aliye husika katika tukio lile. Au wewe unamjua?
OOh basi usilaumu watu, hata hivyo hakuna aliyeleta korona. Kuna mmoja alilazwa kwa kupigwa risasi na mwingine kwa kupata korona, yote ni mazila hakuna wa kulaumiwa.
 
Binti usinilazimishe nikupe kashifa usizo zitarajia
Sina hizo kashifa, hata ukinipa unadhani itanipunguzia nini? Kashfa kutoka kwa mtu nyuma ya keyboard!

Hata hivyo kashfa yako ni ile ile ya kutokuweza kuandika kwa usahihi sentensi za kiswahili hii sijakusingizia inadhihirika wazi kwenye maandishi yako. Huna chochote cha kumchallange TL kama kuandika tu ni tatizo, kajifunze kuandika elimu baba ni bureeee.
 
Sielewi kitu kimoja. Nyuzi za kumshambulia Mh. T. A. M. Lissu zimekuwa nyingi sana,hapa jukwaani JF,kwenye mitandao mingine ya kijamii na pia kwenye makundi sogozi ya Whatsapp,Telegram na Signal.
Kwani tunaelekea kwenye uchaguzi hivi karibuni!!??
Kwa nini Mh. Lissu anaongelewa "kiuchafuzi" as if kuna uchaguzi kesho kutwa!?
 
Wewe kama unampenda Magu usitake watu wote wawe kama wewe,mahaba yako peleka huko we unajua watu wamejeruhiwa mioyo kiasi gani?tutolee upuuzi wako huko,simtetei mtu lakini suala la hisia achana nalo kabisa hujui anauchungu kiasi gani
 
Yaani katika watu wacheshi na wapole na wenye roho nzuri naamini Lissu ni Mmoja wao. Yaani baada ya kumiminiwa yale marisasi yote yale, kutiwa kilema, kulala hospital kwa zaidi ya mwaka na kunyang'anywa kazi yake ya Ubunge kikatili bado jamaa alikuwa alitoka na tabasamu na amekuwa anaonyesha ni mtu mwenye furaha kila siku. Watu wacheche sana wanaweza kuwa hivi!!
 
Back
Top Bottom