Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania


Hujui vyema historia ya Siasa ya TZ, usiende mbali anzia tu 2015 utaelewa kwa nini Tundu Lissu yuko sahihi. Unajua kilichomtokea TL 2018 pale Dodoma na hata baada ya hapo hujasikia kauli za waziwazi za viongozi wa serikali inayoongozwa na hyu mtu juu ya TL? Kama mtu waziwazi alitaka ufe na wewe ukafahamu je utaendelea kumuombea mema?
 
Mtu mwenyewe hata wakati wa ubunge alikua anaishi Dar es Salaam na siyo Singida

Yule anatakiwa kuchukuliwa kama mhaini wa nchi sema tu Tanzania ina ustaarabu mkubwa
 
Utakua umezaliwa kati ya 1988 kuja huku juu, ninyi ndo vijana wapuuzi msiojua mtu mshenzi ni yupi,msiojua nchi imetoka wapi,mnaodhani muonayo kwenye tv maisha na tamaduni za kizungu zinapaswa kua Afrika. Mpo mpo tu kama mazuzu na mala nyingi cha ajabu ukiulizwa unasema una degree.
 
Mapenzi mema siyo kuficha taarifa halali, mapenzi mema siyo kudhulumu haki za watu, mapenzi mema siyo kupora uchaguzi, mapenzi mema siyo kufuta vyama vya upinzani, mapenzi siyo kuwa na upendeleo kwenu na baadhi ya watu, mapenzi mema siyo kuingilia mihimili mingine, mapenzi mema siyo kufilisi viongozi wa upinzani, mapenzi siyo kuleta matabaka nchini.

Tanzania ni ya Watanzania wote siyo ya mtu, chama, kabila, kanda fulani, jeshi, Tiss, Police, na Wakurugenzi.
 
Maoni yako yanapaswa kuheshimiwa. Japo unapaswa pia kuwasilikiliza wa upande wa pili kwani wao pia wana hoja nzito za kuijenga nchi. Nchi yetu sote hii boss. Shauri yako
 
Kama kuzaliwa kabla ya 1988 maana yake ni kutetea na kuunga mkono ujinga basi ni bora waliozaliwa baada.
 
Ukiisha ingia YouTube upande wa Comment kwenye ile video ya KTN TV Juu ya tetesi za kuugua kwa Rais wetu, Utaona Watu wengi wanamponda Tundu Lissu.

Ni hapa JamiiForums tu ndio kuna Wanachadema wengi.
 
T is highly certain that the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) has successfully misinformed the media and misled the public about the health and whereabouts of President John Magufuli who has been sick since last week.

SAUTI KUBWA understands that Magufuli has been hospitalised since 3rd March 2021, first at Ikulu then at Mzena State Hospital in Dar es Salaam.
 

Hivi jamani nyie wengine mnapoandika huwa mnasoma mnachoandika? Hivi kweli wewe unajua unachosema hapa?
  • Kwa nini Lissu ampende Jiwe, ilhali kila mmoja anajua sababu ya Lissu kushindiliwa risasi, na Jiwe kama rais wa Tanzania kashindwa kwa kutumia madaraka yake kuhakikisha waliojaribu kumuua Lissu wanakamatwa?
  • Kwa nini lissu amtakie mema jiwe? Umesahau aliyoyasema na alivyo react wakati Lissu akiunguzwa majaraha ya risasi alizomwagiwa?
  • Unazungumzia suali la misaada kutoka kwa wazungu kama vile serikali ya Tanzania haiombi na kupokea misaada kutoka nchi mbali mbali za ulaya na marekani. Hivi wewe una umri mdogo sana au upeo wako wa kisiasa ni mdogo mno?
 
Kwa maisha ambayo Meko amefanya tuishi baada ya kuharibu uchumi kweli tumekuwa vichaa. Lakini huna haki ya kuingilia furaha yetu, kufa kwake ni UHURU wa pili wa Tanzania. Yule ana roho ya Adolph Hitler. Tusipofurahi anapoteseka tutakuwa wanafiki
Kifo cha mtu muovu ni furaha kwa waliohai.
 
Walosema anga ya Tanzania imefungwa wametumia kigezo gani? Mbona app za flight radar zinaonyesha domestic na International flights ziko bize

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…