Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea!
Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki zake. Mama Samia kaona isiwe nongwa kamlipa.
Kaahidi kurudi nyumbani ila ahakikishiwe usalama wake. Nilimsikia waziri akimtaka kurejea Kwani nchi Iko shwari. Nini kinamkwamisha Lissu? Ni aina ya siasa za ajabu ajabu ambazo chadema wamekuwa nazo Kwa miongo kadhaa.
Siasa za Chadema Kwa siku za karibuni tofauti na wakati ule kulikuwa na ajenda tunayosimama nayo. Miaka ya sasa chadema hawaeleweki Wana ajenda ipi.
Kwa mfano Leo hata matawini kupo kimya! Mbowe yupo kimya! Mnyika yupo kimya! Nchi nzima kimya! Lissu akija Leo atakuwa na shughuli gani?
Mimi naona aendelee kubaki Ubelgiji Chadema aliyoipigania hata kuweka maisha yake rehani haipo tena Lissu endelea kula mishikaki hapo centre boulevards na ukitamani mtindi njoo huku Antwerp Kuna mtindi safi kabisa na mkate wa kuoka.
Hudumia familia Yako achana na siasa uchwara.