Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu mimi lowasa ni miongoni mwa watanzania wa ovyo.Kwanini unamuita Lowassa mtu wa hovyo?
Nilipomsikia akisema "tutashtakiwa MIGA", "Tanzania inawahitaji wazungu kuliko wazungu wanavyoihitaji Tanzania" nkajua sasa basi. Hivi huyu jamaa aliwaza angepata urais kwa kauli kama hizo? Watu wanamoverrate sana Lissu lakini siyo smart kisiasa.
Always remember that your trash is another man's treasure. The views you cherish might as well be rubbish to other people.If opposing views are rubbish, then they should be responded to accordingly!
MATAGA MNAHANGAIKA NA CHADEMA KULIKO WANACHADEMA WENYEWE Mwendazake alihangaika nayo akawanunua Wabunge na Madiwani akawabambikizia KESI za Mauaji UHUJUMU UCHUMI na UGAIDI lakini Chadema haikufa akafa yeyeHuku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea!.
Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania!. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki zake! Mama Samia kaona isiwe nongwa kamlipa!!
Kaahidi kurudi nyumbani ila ahakikishiwe usalama wake ! Nilimsikia waziri akimtaka kurejea Kwani nchi Iko shwari ! Nini kinamkwamisha Lissu? Ni aina ya siasa za ajabu ajabu ambazo chadema wamekuwa nazo Kwa miongo kadhaa.
Siasa za chadema Kwa siku za karibuni tofauti na wakati ule kulikuwa na ajenda tunayosimama nayo. Miaka ya sasa chadema hawaeleweki Wana ajenda ipi!
Kwa mfano Leo hata matawini kupo kimya! Mbowe yupo kimya! Mnyika yupo kimya! Nchi nzima kimya! Lissu akija Leo atakuwa na shughuli gani?
Mimi naona aendelee kubaki Ubelgiji chadema aliyoipigania hata kuweka maisha yake rehani haipo tena Lissu endelea kula mishikaki hapo centre boulevards na ukitamani mtindi njoo huku Antwerp Kuna mtindi safi kabisa na mkate wa kuoka !!
Hudumia familia Yako achana na siasa uchwara !!
Acacia kutupeleka mahakamani ni maamuzi yao, walikuwa wakitetea maslahi yao. Hilo halishangazi. Kinachonishangaza ni huyu mtu aliyekuwa akijiita mwakilishi wa wananchi kusimama upande wa mabeberu kinyume na maslahi ya nchi. Na msilete arcadabra mnazotumia kumtetea Lissu kuhusu hili. It was clear kwa mtanzania wa kawaida kwamba Magufuli was trying to do something positive kwenye inshu ya madini, na Lissu alikuwa kinyume. Sasa weka na kauli zake zingine za kijinga zilizozidi kumuexpose jinsi alivo kibaraka. Halafu etu huyu ndiye mlimweka agombee urais...kwani hatuwahitaji wazungu?
..tungekuwa hatuwahitaji tungesamehe trillion 350++ na kuchukua kishika uchumba toka kwa barrick?
..na unaishi dunia gani kiasi kwamba hujui kuwa acacia walitupeleka mahakamani? Au ulikuwa unasubiri Magufuli na Polepole wakutaarifu?
Vigezo my foot!Ualimu vyuo vikuu una vigezo vyake
Acacia kutupeleka mahakamani ni maamuzi yao, walikuwa wakitetea maslahi yao. Hilo halishangazi. Kinachonishangaza ni huyu mtu aliyekuwa akijiita mwakilishi wa wananchi kusimama upande wa mabeberu kinyume na maslahi ya nchi. Na msilete arcadabra mnazotumia kumtetea Lissu kuhusu hili. It was clear kwa mtanzania wa kawaida kwamba Magufuli was trying to do something positive kwenye inshu ya madini, na Lissu alikuwa kinyume. Sasa weka na kauli zake zingine za kijinga zilizozidi kumuexpose jinsi alivo kibaraka. Halafu etu huyu ndiye mlimweka agombee urais.
Kuhusu hilo la Tanzania kuihitaji mzungu kuliko mzungu anavyoihitaji Tanzania njooni na slogan hiyo tena 2025. Afu tutatalk later baada ya matokeo ya kura.
Kama Tanzania hawakuacha chanxo cha mapato kutokana na kukosa kwao ubunge 2020, sioni tatizo wakiendelea kukaa Ulaya na Marekani, tena chama chao hata ruzuku siku hizi hakina, unataka wakirudi wakale polisi?
1+1=2, hakuna ubishi hapo! unless ni matrimonial mathematics. Arguments zingine ziko hivyo, mathematically calculatedAlways remember that your trash is another man's treasure. The views you cherish might as well be rubbish to other people.
Tatizo Lisu kwa sasa hajielewi. Siasa za bongo zimebadilika lakini yeye bado kabakia enzi za awamu ya tano.Lisu huwenda akawa mhamiaji wa maisha huko Brazos! Na pengine tayari ana ulaia wa huko!
Na ili aje huku, Chadema wananjia moja tu ya kumfanya aje!
Ni kumruhusu agombee nafasi ya Urais, na hili lijulikane pia, akishiriki kugombea nafasi hiyo, ikitokea ameshindwa! Hawezi ishi nchini kamwe!
Na huo ndio uchaguzi wake Kwa sasa!
Tusitaniane bajameni, Ulaya ni Ulaya tuu, Africa itabaki kuwa Africa tu
Ole wa mtu mweusi aonje maisha ya ulaya tena Kwa kibali cha huko, na akapata walau ajira!!! Hawezi kumbuka home!
Waulizeni wazenji, wako tayari familia wauze nyumba na viwanja ili tu mmoja kati yao wa familia hiyo, azamie ulaya, na akizamia, atahakikisha anatuma pesa nyumbani ili kuijenga tena familia hiyo!
Na Zanzibar inajengwa Kwa njia hiyo, na wahamiaji wa ulaya Zanzibar huenda Kwa nia hiyo!
Nani anayebeza maisha ya Ulaya?
Na ndiyo maana hata marais wa nchi za Ki Africa, huwekeza huko ulaya, na wanaishi tu huku Kwa shingo upande ila mioyo yao, iko ulaya
Africa itajengwa na watu wa kawaida saana, wenye kudharauliwa saana na kubezwa na watu weupe na siyo wanaosifiwa na wazungu,
Kwa sababu wote wansosifiwa na wazungu, kuna mawili, either wameuza utu wao, na labda mzungu ana miadi na nchi yake!
Tanzania nakupenda!
Yani umenipiga na kitu kizito cha 'ulaia', nikaona isiwe taabu... wacha nihame uzi kabisaaa.Lisu huwenda akawa mhamiaji wa maisha huko Brazos! Na pengine tayari ana ulaia wa huko!
Na ili aje huku, Chadema wananjia moja tu ya kumfanya aje!
Ni kumruhusu agombee nafasi ya Urais, na hili lijulikane pia, akishiriki kugombea nafasi hiyo, ikitokea ameshindwa! Hawezi ishi nchini kamwe!
Na huo ndio uchaguzi wake Kwa sasa!
Tusitaniane bajameni, Ulaya ni Ulaya tuu, Africa itabaki kuwa Africa tu
Ole wa mtu mweusi aonje maisha ya ulaya tena Kwa kibali cha huko, na akapata walau ajira!!! Hawezi kumbuka home!
Waulizeni wazenji, wako tayari familia wauze nyumba na viwanja ili tu mmoja kati yao wa familia hiyo, azamie ulaya, na akizamia, atahakikisha anatuma pesa nyumbani ili kuijenga tena familia hiyo!
Na Zanzibar inajengwa Kwa njia hiyo, na wahamiaji wa ulaya Zanzibar huenda Kwa nia hiyo!
Nani anayebeza maisha ya Ulaya?
Na ndiyo maana hata marais wa nchi za Ki Africa, huwekeza huko ulaya, na wanaishi tu huku Kwa shingo upande ila mioyo yao, iko ulaya
Africa itajengwa na watu wa kawaida saana, wenye kudharauliwa saana na kubezwa na watu weupe na siyo wanaosifiwa na wazungu,
Kwa sababu wote wansosifiwa na wazungu, kuna mawili, either wameuza utu wao, na labda mzungu ana miadi na nchi yake!
Tanzania nakupenda!
Magufuli kwa nafasi aliyokuwa nayo kama Rais (akipokea reports kutoka kwa washauri mbali mbali chini yake), na kwa uzoefu wake akiwa mjumbe wa baraza la mawaziri kwa miaka 20, alikuwa na data za kutosha kuhusu hili na kujua njia gani sahihi ya kutumia. Ulitaka tumsikilize Lissu kuliko amiri jeshi mkuu wa nchi?..nadhani una tatizo la uelewa.
..njia alizotumia Magufuli hazikuwa sahihi.
..nia njema inatoka wapi ikiwa tuliandaa ripoti za uchunguzi za hovyo-hovyo ambazo hatuwezi kuzitumia popote kudai HAKI yetu?
Magufuli kwa nafasi aliyokuwa nayo kama Rais (akipokea reports kutoka kwa washauri mbali mbali chini yake), na kwa uzoefu wake akiwa mjumbe wa baraza la mawaziri kwa miaka 20, alikuwa na data za kutosha kuhusu hili na kujua njia gani sahihi ya kutumia. Ulitaka tumsikilize Lissu kuliko amiri jeshi mkuu wa nchi?
Na hata kama njia iliyotumika haikuwa sahihi ndivyo mapambano yalivyo. Hakuna njia moja itakayokuwa effective aslimia 100. Cha muhimu hapa ilikuwa nia, uthubutu, na mwanzo (initiative) katika kuwaonyesha mabeberu kwamba tunahitaji mabadiliko. Na vyovyote vile utakavyolitazama huwezi kuunderestimate impact ya hizo initiatives za Magufuli kwenye madini.
Kinyume chake impact za tantalila za Lissu zipo wazi kabisa kisiasa kwake na kwa chama chake. Jamaa alijiexpose jinsi asivyokuwa reliable (na by extension chama chake) kusimama kwa ajili ya maslahi ya nchi.
Kuna USD 300m+ ambayo kuna pahala umeiita kishika uchumba, nayo tulilaghaiwa? Kwamba hakuna ahadi kama hiyo iliyotolewa na acacia?..sakata zima la makinikia lilikuwa na lengo la kuwalaghai wananchi na kujiongezea umaarufu wa kisiasa.