Zanzibar 2020 Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

Wewe unayejua timing mbona hukuchukua fomu ya CCM vyombo ya usalama vikuunge mkono.
May be alikuwa na nia ila fomu waliprint moja tu, sasa kwa wanavyo muogopa Meko angewezaje kumuomba atoe copy?
 
Lowassa 'aliposhindwa' kwny uchaguzi mkuu then 2016 aliamua siku hio kwenda Geita kuwashukuru wapiga kura wake aisee alivurumishiwa mabomu ya machozi mpk leo hajarudia ubishi tena.
Hata Jiwe kunasiku atapigwa mabomu
 
Huyu jamaa ashashindikana, wasubiri siku ya kumtangaza rasmi tu.
 
Deep down ukisikiliza vizuri sera za CCM na Chadema kutoka kwa wagombea wake, Chadema wamejitahidi sana kuonesha ni jinsi gani watatibu majeraha mawili.
1. Muungano wa JMT
2. Katiba
 
Lissu kama mashabiki wa utopolo anatoa stress zake za kupigwa risasi na wasiojulikana ila mwisho wa mchezo rais atajulikana
 
Kila jambo na wakati wake,hawajachelewa hata sasa mabadiliko yanapoenda kutimia ni suala la muda muafaka.Hakikisha Mh.Lissu anapata kura yako,rafiki,familia na jamaa wote walio katika ushawishi wako ili Mh.Lissu apate ushindi wa kimbunga.Yangu na wanaonizunguka anayo tunasubiri siku ifike tufanye yetu.
 
Ngoja ninogeshe hapa, Mutungi akipita hapa ajione alivyo mjinga "In Lisu voice".
 
Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao

CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Hahahahahaha, mavi debe, na bado Lisu siyo Lowasa
 
Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu kwa ulevi tu wa madaraka wanadhani ile Mahakama ya The hugue ni pambo tu, wawaulize wenzao Kwanza.
 

Umefikia hatua mbaya sana na ugonjwa wa akili. Kuamini unachowaza. Kawaida mtu huamini au kutoamini kinachosemwa na mwingine. Akili yako mwenyewe haiwezi kuwa chanzo cha wazo na kuamini au kutoamini pia!!

Hebu tuzungumzie sera, nia na hamu au maono ya hawa wagombea. Sio habari ulizojitungia. Na kama zimesemwa kwako, toa taarifa hizo kwa vyombo husika na Lissu awajibishwe!!

Do not stoop this low, man!!
 
NEC mbumbumbu wa sheria, ZEC ndiyo inayosimamia uchaguzi Zanzibar siyo NEC. Kazi ya Msajili wa vyama ni kusajili na kuvilea sio kusimamoa uchaguzi Zanzibar wala Bara. Hivi hawa ndugu elimu zao walizipatia vyuo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…