gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
May be alikuwa na nia ila fomu waliprint moja tu, sasa kwa wanavyo muogopa Meko angewezaje kumuomba atoe copy?Wewe unayejua timing mbona hukuchukua fomu ya CCM vyombo ya usalama vikuunge mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May be alikuwa na nia ila fomu waliprint moja tu, sasa kwa wanavyo muogopa Meko angewezaje kumuomba atoe copy?Wewe unayejua timing mbona hukuchukua fomu ya CCM vyombo ya usalama vikuunge mkono.
Hata Jiwe kunasiku atapigwa mabomuLowassa 'aliposhindwa' kwny uchaguzi mkuu then 2016 aliamua siku hio kwenda Geita kuwashukuru wapiga kura wake aisee alivurumishiwa mabomu ya machozi mpk leo hajarudia ubishi tena.
evidence, tena concrete evidence"Lissu ananipa raha Sana yeye uwa aongelei Jambo bila reference"
Kila jambo na wakati wake mkuuMbowe alikuwa wapi 2015 kuteletea huyu mkombozi?
Mmekwama mwaka huu hampati kibali cha kutuchomea nyavu zetu halali tena natunalipwa mlicho tuharibia wavuvi namashine zetu mlizoziteka ameahidi kuturudisha wanyang'anyi nyieMtaungana mpaka Mtaungama mwaka huu. CCM mbele kwa mbele.
Ngoja ninogeshe hapa, Mutungi akipita hapa ajione alivyo mjinga "In Lisu voice".“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu.
"Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi kwa Tundu Lissu na CHADEMA kumuunga mkono Maalim Seif na ACT." Mhe. @TunduALissu.
“Nikichaguliwa kuwa Rais nitaunda Serikali ya Chadema kwasababu ya Katiba inavyosema. Kama kutakuwa na uhitaji itabidi tubadilishe Katiba kwanza, na moja ya maazimio ya Chadema ikishinda Uchaguzi Mkuu ndani ya siku 100 tutaanzisha mchakato wa Katiba mpya.”Tundu Lissu
“Bob Amsterdam ni Mawakili wangu, wanashughulika na maswala yangu yote yakisheria ya ndani na nje ya Nchi. Kama Tume imeandikiwa barua basi Mawakili wangu wamekuwa wakitimiza wajibu wao, Kama nilivyosema uchaguzi mkuu hatutaki mchezo" Tundu Lissu
===
LISSU: HATUNA MASLAHI NA URAIS ZANZIBAR, NDIO MAANA TUNAMUUNGA MKONO MAALIM SEIF
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA kumuunga mkono Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo sio ushirikiano
Amesema wao hawatatangaza ‘coalition’ ya vyama vyao bali wataungana mkono kwenye maeneo ambayo hawana maslahi nayo. Amesema hawana maslahi na Zanzibar ndio maana wamemuunga mkono Maalim Seif Shariff Hamad
Amesema wamefanya hivyo kama ambavyo Lyatonga Mrema wa TLP na John Cheyo wa UDP walivyomuunga mkono mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli
Amesema hiyo haikatazwi na sheria. Amesema ni muungano wa vyama ndio unatakiwa kisheria kupeleka barua kwa msajili na wao hawana muungano
Hahahahahaha, mavi debe, na bado Lisu siyo LowasaHao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Unamatatizo weweHao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu kwa ulevi tu wa madaraka wanadhani ile Mahakama ya The hugue ni pambo tu, wawaulize wenzao Kwanza.Tundu Lissu kaleta na kuonyesha vitu tofauti. Atleast kawafundisha watu kusoma word to word sheria na kanuni zetu ili kuepuka maonevu
1. Kathibitisha kwamba hakunaga kitu kinachoitwa ni “kosa kikanuni kufanya mikutano na kuhutubia” wakati wa kukusanya sahihi za wadhamini wa form za urais
2. Huwezi kumuita mtu kizembe tu kwa kutangaza kwenye media. Lazima umkabidhi barua mkononi na mpange nae ratiba ya kukutana na sio kumuharibia ratiba zake
3. Umuhimu wa kutumia reference kwenye mambo muhimu. “If Mgombea huyu alifanya hivi na kuachwa, then na sisi tutafanya hivyo na kuachwa pia”[emoji4]
Dr. Mahera inabidi ujipange aisee. Tumia PhD yako vizuri. Wasomi wote hutafiti kabla ya kuact. Usitegemee kupokea ushauri wa maana kutoka kwa Polepole et al. Utapata taabu saana after Nov 2020
Hayo magadget waliyomuwekea ni hatari kwa usalama wa taifa akiwa popote iwe ikulu au kituo cha jeshi au ofisi ya usalama wa taifa yanapiga picha na kubeba taarifa za ofisi alipo na kuzipeleka nje kupitia computer ya Amsterdam jasusi LA kimataifa
MTU ana mi gadget ya kijasusi ya mabeberu mwili mzima hafai u amiri jeshi mkuu
Nani mwenye jeuri ya kumuenguwa Lisu?Amechemka kwenye kampeni anatafuta sababu za kuenguliwa sasa!