Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

Pure socialism iliishia kipindi cha Nyerere na azimio lake la Arusha, ni kweli aliona socialism inafeli ndo maana akang'atuka mwaka 1985, after that mfumo uliofuata na ambao tunao hadi leo ni mixed economy. Ni mfumo ambao unajaribu kuabsob disadvantages za pure capitalism na Socialism. Ni mfumo ambao unalinda maslahi ya watu wote wafanyabiashara na wakulima wa kawaida vijijini.
 
una uelewa mdogo sana wa masuala ya nchi
 
Mkuu

Unachosema ni sawa..upo sahihi kihistoria..

Mimi nilitaka kukuonesha huu uongo tunafundishwa shule eti Africa ni socialist tangu enzi za mababu ni pure lie!

Tangu enzi za mababu system free market ilikuwepo na ikasaidia empire kubwa kubwa kujengeka Africa,Tanzania zilikuwepo nyingi tu....sababu ya FREE TRADE na sio upumbavu wa socialism!

Socialism ni foreign concept Bwana Nyerere na kichaa mwingine wa Ghana Nkurumah waliekukopi huko Urusi na China wakatuletea utopia za kipumbavu kabisa eti socialism....what a joke!

Tanzania mpaka sasa hatujui tupo mfumo gani......

Mfumo wa socialism hatupo

Mfumo wa capitalism hatupo

Wenye kufanya capitalism kukusanya wealth wananyang'anywa kupitia kodi na outright stealing by the government wanalishwa Watanzania 90% for FREE....

15% ya Watanzania ndio wanalipa kodi....hawa ndio wealthy,upper na hawa middle class kama wewe na mimi...tunalisha the rest of 90% kuanzia Elimu bure,matibabu bure,mabarabara,etc..

Binafsisha kila kitu....kila mwananchi apewe freedom,civil liberties.....kila mtu atumie akili yake yote na nguvu zake zote kujitafutia mali kadiri anavyoweza kwa kufuata sheria za nchi...

Mwanasiasa ameaminisha hawa 90% kwamba serikali can do everything for them for FREE....too bad serikali haina uwezo wa kujenga hela za kuwapa.....

Rules of the game iwe katiba ya nchi...
 
Mbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru
Mkuu unaishi wapi wewe muhimbili hii Sasa ni sawa na muhimbili ya miaka ya 1980!?, Au unacomment ili na wewe uonekane umechangia au ubishi wa kijinga ambao hauna maana Kama wa mgombea wako TL.
 
Mbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru
Kwani sasa hivi zimekufa au zimedorora, yaani hujaona wala kusikia kuongezeka kwa wataalamu na vitendea kazi au ni imani yako kwamba saccos ni bora zaidi?
 
Kama ndivyo hivyo basi familia Inaishi kwa sababu maalum, za kiulinzi na usalama nafikiri ungelikuwa ni wewe hata usingetia mguu Tanzania, ni lazima kwanza tumsifu Lissu kwa kuamua kurudi na kukanyaga ardhi ya nchi yake.
Mkuu usisumbuke kumpa hoja deep kama hizo hawezi kuelewa labda ungemuuliza kwani huko Ulaya alienda kwa hiyari au pengine walimfanyia vile walivyomfanyia ili kupata hoja za mtindo huu?
 
Hata Obama aliambiwa hivo, mara oooh! ni mkenya, mara oooh! ndugu zake wako kenya. Yanayofanywa na rais si kwa matakwa yake bali ni kwa matakwa ya sera za chama, katiba nk
 
Hayo ni maono yako.
 
Kijana ulishawahi kusikia NHS,Obamacare etc?
 
TAL ni Msindikizaji tu, kwani katika msafara wa Mamba na Kenge huwemo. Kwa hiyo, yeye anasindikiza msafara wa Mamba.
 
Kijana ulishawahi kusikia NHS,Obamacare etc?
Mkuu

Hivi upo dunia gani?

Obamacare is gone!

Mnatuletea communism USA?.....Kitu imepigwa vita mpaka imechomolewa!

Shida hapa ni sera hovyo za Democrats...mnaleta upumbavu wa welfare dependence kweny capitalism!

NHS inapigwa vita na Republicans na Libertarians!

Futilia mbali huu upumbavu wa socialism USA!

Zinapigwa vita na Republicans kila siku...na mimi ni shabiki wao mkubwa!

Tanzania mmeigeuza Welfare State kabisa....

15% inatunza the remaining 75%....what a tragedy!
 
Hujui kitu kijana wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…