Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

Tundu lissu atashinda kwa kura nyingi tu tatizo nani atanyanyua kinywa chake amtangaze?

CCM hawa ni wahuni sana usishangae kukuta vituo hewa vingne huko baharini, hili nalo tusilisahau mlinda kura kachaguliwa na muiba kura.
Sahau Lissu kushinda
 
Ni kweli "hapa kazi tu" hakuna vya bure imewaingia watu na inasikika kwa watu wa rika zote. Nimejua kumbe Watanzania sio wavivu ni hamasa tu iliyojitokeza kuwawatofautisha kihalali wavivu na wachapa kazi.
Hilo halina ubishi

Watoto wa kitaa wanasema mzee Magu kawafundisha kuchapa kazi. Eti siku hizi hakuna pesa za deals.....Na wanamsifu kwa hilo.

Nikiwahi kusema Tundu ni sawa na mfanyabiashara wa beer na kitimoto anayeamua kwenda kuwekeza Mecca au madina
 
Sijui unaishi wapi nchi hii? Hakuna namna Magufuli anaweza kushinda bila hila na anajua ukweli huu ndio maana ameisuka NEC kwa watu wake wa ukoo. Magufuli mwenyewe hajiamini hata kidogo ndio maana mtu mzima anapiga magoti kuomba achaguliwe licha ya kujitapa miaka 5 na madaraja anayojenga. Ongea ukweli.
Yote ni mikakati ya ushindi maana wafuasi wa mafisadi mko wengi tu na lengo ni kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinatumika na watanzania wote.
 
Genge la watu Sita, ndo Wanataka kuwahadaa watanzania never. Mgombea urais wao tayari ashafanya booking ya Klm 18/12 safari. Nenda mwana kwenda kwa Amsterdam wako, tuache tunu zetu.
Jiandaeni tu kuwa wapinzani. Mtake msitake, Tundu Antiphas Lissu ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
Yote ni mikakati ya ushindi maana wafuasi wa mafisadi mko wengi tu na lengo no kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinatumika nawatz wote
Kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini Chato au??
 
Ni kweli "hapa kazi tu" hakuna vya bure imewaingia watu na inasikika kwa watu wa rika zote. Nimejua kumbe Watanzania sio wavivu ni hamasa tu iliyojitokeza kuwawatofautisha kihalali wavivu na wachapa kazi.
Unasema wachapa kazi gani??? Wakulima wa korosho mlioharibu soko la mazao yao kwa akili zenu mbovu CCM na Magufuli wenu??? Wakulima wa kahawa mlioharibu soko la zao lao??? Wakulima wa Tumbaku, Mbaazi, Mbao, pamba na Ngano mlioharibu biashara za mazao yao kwa sera zenu mbovu?????

Au wachapa kazi gani???
 
Unasema wachapa kazi gani??? Wakulima wa korosho mlioharibu soko la mazao yao kwa akili zenu mbovu Ccm na Magufuli wenu??? Wakulima wa kahawa mlioharibu soko la zao lao??? Wakulima wa Tumbaku, Mbaazi, Mbao, pamba na Ngano mioharibu biashara za mazao yao kwa Sera zenu mbovu?????

Au wachapa kazi gani???
Bila kusahau, wawekezaji waliobambikiwa kodi za kuwakomoa, wakafunga biashara ajira zikaisha.
 
Una uhakika gani watanzania wameridhika na yaliyofanyika? Una utafiti wowote uliofanyika nchi nzima ukang'amua hilo?

Amani na haki kipi humzaa mwenzake (hutangulia)?

Elezea hayo maneno yenye ushari mbele ya haki na uhuru unaoujua wewe.
 
Mkuu Tundu hawajui watanzania[emoji16]

Watanzania ukiwajua utaishi kwa raha sana wana upendo sana, wana huruma, wana mshikamano, watakufanyia chochote bila hata malipo mradi uwadharau.
Kitendo cha Tundu kuwaambia watanzania hawajui kiingereza tuu lilikua tusi
Kitendo cha Tundu kujirekodi kwa kiingereza na kumtumia Amstadam nalo tusi
Kitendo cha Tundu kutukana watendaji wa vyombo vya serikali Hilo ni tusi
Na mengine mengiii..... watanzania ndio wale wakuitwa wajumbe. Muulizeni Mpoki, Zamaradi na Steve

Magufuli anawajua watanzania na watanzania wanamjua hata mumpake matope watamsafishaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utani mkuu, yaani watanzania wampigie kura mtesaji wao(Jiwe)?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Unasema wachapa kazi gani??? Wakulima wa korosho mlioharibu soko la mazao yao kwa akili zenu mbovu Ccm na Magufuli wenu??? Wakulima wa kahawa mlioharibu soko la zao lao??? Wakulima wa Tumbaku, Mbaazi, Mbao, pamba na Ngano mioharibu biashara za mazao yao kwa Sera zenu mbovu?????

Au wachapa kazi gani???
Ukichelewa kuziba ufa, kujenga ukuta ni ghali zaidi
 
Back
Top Bottom