Kumpa kura yako jiwe ni kujidhalilisha utu wakoUmesahau viongozi wako wa chama walivyotimka bungeni[emoji16][emoji16][emoji16] ila chadema matapeli sana, eti wakasubiri hadi posho ikaingia ndio wakakumbuka kuna corona
John Pombe Magufuli unayedai hajui kizungu ndio rais wako hutaki hama Nchi au kuwa rais wewe teheteheee
Kizungu kimekuingizia sh ngapi leo
Unamaanisha hautakuwa open election.
Kila kichwa kura 1 tu, omba namba ya wakala mwaminifu, akusimulie alichoona na kwamba hakuna wizi wa kura kwenye kituo chenye wakala wa vyama mbalimbali.Nasema kwa msisitizo Magufuli hawezi kushinda uchaguzi wa mwaka huu. Hawezi kamwe
Na nafurahia kwa sababu sio my language,Ningekuwa mimi ni wewe ningetaka Lissu ashinde kwani sera zake za elimu zitakusaidia kupata ujuzi wa lugha ya malikia. Your English is terribly terrible!!
Ningekuwa mimi ni wewe ningetaka Lissu ashinde kwani sera zake za elimu zitakusaidia kupata ujuzi wa lugha ya malikia. Your English is terribly terrible!!
Endeleeni kujifariji tu. Hakuna mwenye akili timamu atakayemchagua magufuli iwe kesho na keshokutwa Zanzibar na hata Keshokutwa Tanzania baraKila kichwa kura 1 tu, omba namba ya wakala mwaminifu, akusimulie alichoona, na kwamba hakuna wizi wa kura kwenye kituo chenye wakala wa vyama mbalimbali.
Bado masaa 48 tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utani mkuu, yaani watanzania wampigie kura mtesaji wao(Jiwe)?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja, never on earth Lissu anaweza kushinda!.
P
Unaishi wapi mkuuMsijaribu kuiba kura ,Tz itageuka Syria nyengine. Naona mnaota kulitoboa jahazi katikati ya mkondo tena kizani .
Matokeo yake mtayaona
Majibu ya swali lako utayapata baada ya 28 October 2020Ndiomana nami nikamuuliza?
Una uwakika gani watz wameridhika na yaliyofanyika? Una utafiti wowote uliofanyika nchi nzima ukang'amua hilo?
Amani na haki kipi humzaa mwenzake (hutangulia)?
Elezea hayo maneno yenye ushari mbele ya haki na uhuru unaoujua wewe..
Uwanja uko huru siku zote
Bado ni hisia tu.JPM ameweka misingi ya nchi hii kupaa kimaendeleo kwenye akili wanajua....wanaotaka siasa na ufisadi hawapendi kabisa na wewe no miongoni wao